Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweka Option hii kwa Wahindi au wapi?kubabeki...mi sa hivi nimeweka hakuta kua na red card kwny gem za
celta vigo
bilbao
A. Madrid....niweka kama 27000 nasubiri 66000...Mungu nsaidie
gem ya spurs & Liverpool na gem ya astonvilla & hull city niliweka over 1.5
hongera ndugu, ndio umebet mara ya kwanza na kushinda nini...?
yeah Leo ndio Mara ya kwanza na nimekula mpunga
nakushukulu sana baharia kwa msaada wako
Nasubiri kukuche niangalie mikeka yangu.
Mie naangalia dunia tu na kuchat whatsapp, nishafunga biashara mpaka next week. Haha
Umekula leo eeeeh
Mikeka yetu wengine inaenda hadi saa sita ndio tutajua hatima yetu
Mie naangalia dunia tu na kuchat whatsapp, nishafunga biashara mpaka next week. Haha
Aah nile wapi mkuu nimeambulia kifuta jasho ambacho arsenal wameniharibia tena so nimebakiwa na mtaji tu.
alafu umenipa idea ndugu tuongee na c.e.o tuanzishe group humo