Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Ngoja nisubiri matokeo mkuu so far ni dakika ya 65 na Zenit anaongoza kwa tofauti ya goli moja.
Mkuu naona zenit kashakupa supu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nisubiri matokeo mkuu so far ni dakika ya 65 na Zenit anaongoza kwa tofauti ya goli moja.
Hii ni blessing in disguise way.... Zenit kashinda 4-2.Dah... mkuu unachezea shilingi chooni
Sasa hivi mambo ya kuweka buku nile laki sitaki tena. Naweka kilo mechi moja tu yenye average odd ya 1.5 Mwisho 1.7.. Nakua nakula 50 had 70 per day.. Kwa wiki nina above 350.. Heri ya haya kuliko kila siku kuaribiwa na timu moja tu

Ila inabd uwe mvumilivuw
Mkuu naona akili ishatulia sasa, the only way ni kuweka timu 1 mtaji mkubwa, ukishinda japo 20,000 faida unaidouble tena, jpili kama ya leo unaweza kutengeneza 300.000 kiulainiiiiii
jifunzeni kuua majemedari kwa mfano man city jana ungelamba point kibao
Kwa mara ya kwanza nimepata 434,000 in a single bet. Nimerudisha zote nilizowahi bet pamoja na faida mara dufu.
Pole mkuu mie jana nimeumia sana timu moja kupoteza 5000000
Mkeka ulibakia mmoja na huo nimepata 434000 kwa buku tuuuuiu.
Mkuu naona akili ishatulia sasa, the only way ni kuweka timu 1 mtaji mkubwa, ukishinda japo 20,000 faida unaidouble tena, jpili kama ya leo unaweza kutengeneza 300.000 kiulainiiiiii
Kwan mechi moja inaruhusiwa? kampun gn
meridian
Msisahau ligi ya italy game nyingi huwa ni rafik wa 0-1,0-2 kwa lugha rahisi ni under 1.5
kuminimize risk...under 2.5 kabisa