mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
mamaaa weee man city kapigwaa
62" man city 0 - 1 stoke city :hail:
62" man city 0 - 1 stoke city :hail:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Man City nae kaharibu mambo.
Mikeka yangu mingi ilikuwa na Newcastle sasa amepigwa hii inamaanisha leo nimepoteza hela.
Yaaani mimi New Castle kaninyima Milioni Tano hivi hivi hivi hivi hivi hivi.
Daaah jamani why why why why. Kwanini NeeCastle yaani dakika ya mwisho unashindwa paki basi?
Dah wsws sitakuweka kwenye bet yangu kamwe pamoja na Man U na Man City. Mmenivuruga yaani milioni tano mmeiacha kabisa. Bora mmevumilia tu hadi game iishe mkiwa washindi ningewapa hata zawadi ya kununua jezi yenu original.
Dah imeniuma sana, imeniuma saaaaaaana.
Yaani kweli kweli wenzako wote wanashinda wewe tuuu tena dakika ya mwisho kabisa
Mkuu hio ndo gambling hata mie hapa nilikua nabana mbupu* lakini haikusaidia 15,000 imekwenda
Nimeumia sana, nimesikitishwa sana. Sikutegemea wewe ambae game zote umefungwa leo hii unakuja toa draw badala ya kushinda. Kenge mkubwa wewe. Yaaani umeniudhi sana, karatasi tatu zote nimechana chaana na kutupa jalalani. Yaani mkeka mmoja 5mil kwa timu 13 wswd tu ndio umezingua, bora hata wangekuwa wanatoa bonus.
Yaani ni wewe tu ulieharbu
Yaaani mimi New Castle kaninyima Milioni Tano hivi hivi hivi hivi hivi hivi.
Daaah jamani why why why why. Kwanini NeeCastle yaani dakika ya mwisho unashindwa paki basi?
Dah wsws sitakuweka kwenye bet yangu kamwe pamoja na Man U na Man City. Mmenivuruga yaani milioni tano mmeiacha kabisa. Bora mmevumilia tu hadi game iishe mkiwa washindi ningewapa hata zawadi ya kununua jezi yenu original.
Dah imeniuma sana, imeniuma saaaaaaana.
Yaani kweli kweli wenzako wote wanashinda wewe tuuu tena dakika ya mwisho kabisa
Hahahaha watu mnalia si mchezo