Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duh hata naogopa chungulia mkeka wangu.
Leo nataka nimuue Everton kwa kumpa Chelsea ushindi
 
Jamani eeeh mkimaliza muianike hapa hiyo mikeka jamani
 
Atakayeweka mikeka ya Premier Betting ... aianike hapa... mm si rafiki mzuri wa Meridian.
 
Wale wa over/under malizieni huu...
 

Attachments

  • 1409384265290.jpg
    1409384265290.jpg
    64.4 KB · Views: 94
Nimezoea premair nipo mbeya kikazi premair hawapo msaada jamani nifanyeje kujiunga meridian
 
Back
Top Bottom