Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Man City nae kaharibu mambo.
Mikeka yangu mingi ilikuwa na Newcastle sasa amepigwa hii inamaanisha leo nimepoteza hela.

duh, shigid sheedah!! ndo maana wanasemaga usirudie kuiweka timu moja kwny mikeka mingne
 
As it stands QPR,southmpton,newcastle, swansea wananibeba hadi sasa mkeka mitano imepona, namsubiri Chelsea pekee akishinda baaaasi
 
Man city keshaharibu shughuli, wajinga utafkiri wanapanga matokeo mamaeh
 
hahahaha .. Muhindi kashachukua Pesa yake .

Bora Vodacom League nayo iiingie kwnye Betting .. khaaaaa .. kila siku Muhindi anapiga chenga ua mwili .
 
Mech ya man city ndo mech ambayo ckuwa na waswas nayo af ndo imezngua
 
Yaaani mimi New Castle kaninyima Milioni Tano hivi hivi hivi hivi hivi hivi.
Daaah jamani why why why why. Kwanini NeeCastle yaani dakika ya mwisho unashindwa paki basi?
Dah wsws sitakuweka kwenye bet yangu kamwe pamoja na Man U na Man City. Mmenivuruga yaani milioni tano mmeiacha kabisa. Bora mmevumilia tu hadi game iishe mkiwa washindi ningewapa hata zawadi ya kununua jezi yenu original.
Dah imeniuma sana, imeniuma saaaaaaana.
Yaani kweli kweli wenzako wote wanashinda wewe tuuu tena dakika ya mwisho kabisa
 
Nimeumia sana, nimesikitishwa sana. Sikutegemea wewe ambae game zote umefungwa leo hii unakuja toa draw badala ya kushinda. Kenge mkubwa wewe. Yaaani umeniudhi sana, karatasi tatu zote nimechana chaana na kutupa jalalani. Yaani mkeka mmoja 5mil kwa timu 13 wswd tu ndio umezingua, bora hata wangekuwa wanatoa bonus.
Yaani ni wewe tu ulieharbu
 
Mkuu hio ndo gambling hata mie hapa nilikua nabana mbupu* lakini haikusaidia 15,000 imekwenda
 
Daah mkuu mie nimeumia sana japo niliweka 1000 tu ila huyu NewCastle kanikosesha maana alibakia yeye, swansea,qpr,southmpton, sasa hao wote wameshinda isipokuwa yeye tu. Yaani imeniuma sana
 
Nimeumia sana, nimesikitishwa sana. Sikutegemea wewe ambae game zote umefungwa leo hii unakuja toa draw badala ya kushinda. Kenge mkubwa wewe. Yaaani umeniudhi sana, karatasi tatu zote nimechana chaana na kutupa jalalani. Yaani mkeka mmoja 5mil kwa timu 13 wswd tu ndio umezingua, bora hata wangekuwa wanatoa bonus.
Yaani ni wewe tu ulieharbu

Yaaani mimi New Castle kaninyima Milioni Tano hivi hivi hivi hivi hivi hivi.
Daaah jamani why why why why. Kwanini NeeCastle yaani dakika ya mwisho unashindwa paki basi?
Dah wsws sitakuweka kwenye bet yangu kamwe pamoja na Man U na Man City. Mmenivuruga yaani milioni tano mmeiacha kabisa. Bora mmevumilia tu hadi game iishe mkiwa washindi ningewapa hata zawadi ya kununua jezi yenu original.
Dah imeniuma sana, imeniuma saaaaaaana.
Yaani kweli kweli wenzako wote wanashinda wewe tuuu tena dakika ya mwisho kabisa

hahaha andybird314 umenichekesha sana leo, ebu muone na huyu ng'ombe anaitwa Man city alichonifanyia USD 318
 
Attachments

  • 1409415936300.jpg
    1409415936300.jpg
    55.3 KB · Views: 92
Last edited by a moderator:
kubabeki...mi sa hivi nimeweka hakuta kua na red card kwny gem za
celta vigo
bilbao
A. Madrid....niweka kama 27000 nasubiri 66000...Mungu nsaidie
 
Back
Top Bottom