Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aah hao mkekabet mbona saiv siuni kama kuna namna ya kuangalia mkeka kama tayari umeshachanika ama bado unapumua.. kama kuna mtu anafaamu basi anijuze maana m huwa nabet mechi hadi za siku tatu mbele. Sasa apa sielew kama ndo nshapoteza ama bado
 
Hahahah Chief mpr una mambo ya ajabu sn, Limerick anaelekea kushinda hiyo game! Kwa waliompa Italy kuqualify lzm mle hela.

All the best wakuu, wengine tuko benchi kwa muda.
Ni kuyabinya tu hapa, nimewapa 0-0.
 
Jama Roho Yaniuma Deportivo Cuenca Amebaki Yeye Ameshanichania Mkeka Adi Saivi Yupo Kwake Kala 3 Na Wana Redcard Dah.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 


Pole sn Chief ... hapo utakuwa unajilaumu bora ningewapa 3+
 
Friendlies Hazitabirikagi. Unaweza Ukawapa Watu Kumbe Wamechezesha Reserves Timu Iko Mapumzikoni Matokeo Yake Wanapigwa Na Vitimu Vya Ajabu. Au Ukaweka Magoli Mengi Wakafungana Machache Au Ukaweka Under Unakuta Mtu Anapigwa 26...
Friend matches zime nisave sana n mwendo wa magoli tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…