upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,089
- 4,535
Bora magoli aiseh.
Nakufuata mkuu,potelea mbali.Habari wadau, ... kwa mnaotupia, chekini hizi pts/odds, naona ni hela hii ...
Jeonbuk Motors (1.67)
Ceres FC (1.60)
C-Osaka (1.85)
Jeju Utd (2.30)
All to Win (total odds = 11.35)
**Au unaweza ukachukua timu 2
Kwahiyo ukiwa mgeni kwenye nyumbani ya watu ww unaingia tu kila chumba..tuondolee uchafu wako humpi yeyote kati hata senti yako. .isiyokuhusu...poa mkuu me ni mgeni jf sijaelew utaratibu
Umerudi?Habari wadau, ... kwa mnaotupia, chekini hizi pts/odds, naona ni hela hii ...
Jeonbuk Motors (1.67)
Ceres FC (1.60)
C-Osaka (1.85)
Jeju Utd (2.30)
All to Win (total odds = 11.35)
**Au unaweza ukachukua timu 2
Umerudi?
Hii ni kazi kama kazi zingine
Usimdharau mtu anaeshinda siku nzima kuangalia ampe nani ushindi
Tena hii ni kazi isiyo ya kukariri uahitaji akili zaidi
Kiufupi anaweza kukuzidi kipato kwa kubet
Waheshimuni maana serikali imeshindwa jenga viwanda
Betting inalipa kodi maana yake ni halali
Ingekuwa haramu usingeona vat kwenye bet
Umenena mkuu,wengine kazi hii imewatajirisha kama akina Billy WaltersHii ni kazi kama kazi zingine
Usimdharau mtu anaeshinda siku nzima kuangalia ampe nani ushindi
Tena hii ni kazi isiyo ya kukariri uahitaji akili zaidi
Kiufupi anaweza kukuzidi kipato kwa kubet
Waheshimuni maana serikali imeshindwa jenga viwanda
Betting inalipa kodi maana yake ni halali
Ingekuwa haramu usingeona vat kwenye bet
Roasso Kumamoto v Cerezo Osaka
Y ODDS 2.08
1W ODDS 4.28
Over 2.5 odds 2.29
Muhindi anautani na mm, lazima nijitoe ufahamu hapo. Roasso ni mbishi sana mechi za hivi karibuni. naiona over hapo wadau. maana hapo Y ipo, ila kunammoja ataleta ubishi kuongeza goli la tatu. Hii ni hela.
Wewe lazima ni zezeta!!!!!!!!inakuaje lakin mtu mweny malengo ya kimaisha unakuw addict na huu mchezo nimefatilia hata hapa hauna impact yeyote huu mchezo ivo vikaratasi vya kubetia hamli kila siku mnachana nashaur vijana wabetie pesa za madafu
Nani alinifuata hapo. MZEE WA Y KAMA KAWA NACHEKA MDA HUU. BET WON, Ngoja niwasome wavietnam mda huu.
1-2 tayari....zote ImetokaNani alinifuata hapo. MZEE WA Y KAMA KAWA NACHEKA MDA HUU. BET WON, Ngoja niwasome wavietnam mda huu.
Lete zingine1-2 tayari....zote Imetoka