Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

86d15db9cddd1c7ac0036111b871d9be.jpg
mchawi mwngne.
 
Asee wazee wenzangu wa kubet......mkeka bet mbona wanazingua kwenye account yangu sioni kama nimlose au betwon na poa hawanionyeshi amount kwenye tiketi after submit, marekebisho gani haya wamefanya? nisaidieni kwa anayejua pls
 
daah... mkuu wamezingua kinyama hawaoneshi hata muda wa mech ,kwao inafaida maana hutajua record ya timu hyo utaliwa zaid wao wanapata faida zaid watakuwa wameomba ushaur kutoka ktk kamat yao ya ufund , m bet wanafaham kuwa kuna meridianbet na wanaweza kuongeza option bt wamepotezea ili kuongeza their safe margin.
 
Asee wazee wenzangu wa kubet......mkeka bet mbona wanazingua kwenye account yangu sioni kama nimlose au betwon na poa hawanionyeshi amount kwenye tiketi after submit, marekebisho gani haya wamefanya? nisaidieni kwa anayejua pls

Ni kweli hawaonyeshi kama umelose au laah! Ila wanakuja kuonyesha matokeo ya mwisho, na ni hadi uiangalie ile tiketi, Utaona neno "Settled" kama wameiSettle wanasema YES...payout either No/Yes.

Amount after submission, nahic ukibofya pale "Estimated return" unaona hela na Unajipigia mahesabu mwenyewe ya kutoa...[emoji23][emoji23]
 
Sitakuja kumBETIA INTERNATIONAL ya Brazil kamwe [emoji23][emoji23][emoji23]

Wanajiita "WAKIMATAIFA" [emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe WAMCHANGANI tuuuuuu.....[emoji22][emoji22][emoji22]
 
Double chance in favour of the Icelanders...
X2...fuata nyuki ule honey!
 
Hawa iceland sio watu wazuri kabisa. ngoja niwape ata Y niweke hata 100k. naona kama ina 2.1 odd. Hata nikiliwa sina hasara siku ya leo. maana leo Y au GG zilikua nyingi sana jamani. Nimeshangaa watu mnampa International au mnawacheza wabrazil, Hao ligi yao haieleweki kabisa, tunacheza kama siku mechi ni chache.
 
Wape double chance.
 
Back
Top Bottom