Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2016-7-3_22-28-20.png


Hatimaye BET WON kabla game haijaisha........dah niliweka mzigo
 
Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhh imepatikana Over 2.5 halftime........niliiogopa bureee ilijaaa odd 5.60
 
Ni kweli hawaonyeshi kama umelose au laah! Ila wanakuja kuonyesha matokeo ya mwisho, na ni hadi uiangalie ile tiketi, Utaona neno "Settled" kama wameiSettle wanasema YES...payout either No/Yes.

Amount after submission, nahic ukibofya pale "Estimated return" unaona hela na Unajipigia mahesabu mwenyewe ya kutoa...[emoji23][emoji23]
mkuu premierbet mikeka uliyoweka unaionea wapi kama unatumia simu?
 
mkuu premierbet mikeka uliyoweka unaionea wapi kama unatumia simu?

Mkuu, mimi Premier bet bado sijajiunga....Nipo Meridian na Mkeka bet.

So,Premier bet sijui chohote.
inabidi Mr Wise atusaidie.
 
Mkuu, mimi Premier bet bado sijajiunga....Nipo Meridian na Mkeka bet.

So,Premier bet sijui chohote.
inabidi Mr Wise atusaidie.
Nenda kwenye my account... Bonyeza account overview.. Then utaona kwa kuchagua tarehe au bonyeza all bets
 
Daaaaah, bet won. Asanteni iceland kwakutoa magoli na Y, Ngoja nipumzike. Kesho natafuta timu moja tu yakufungana.
 
This game don not need angry.....hahaahaaaaaa tafsiri ya moja kwa moja...... Hatari sana sheikh
 

Attachments

  • Screenshot_2016-07-04-07-05-06.png
    Screenshot_2016-07-04-07-05-06.png
    35.8 KB · Views: 43
Back
Top Bottom