Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nikasema .....nizuie magoli yasifike mawili kipindi cha kwanza..... Bado wakavuta shati
 

Attachments

  • Screenshot_2016-07-04-08-28-02.png
    Screenshot_2016-07-04-08-28-02.png
    46.6 KB · Views: 45
Chungju Hummel over 0.5 goals odds 1.67, Pascoe vale Y odds 1.52 total odds 2.835. Stake 50k RAT126.9K. Mm naanza kihivyo leo.
 
Wazee wa makokoro heshima yenu. Mimi nipo likizo ya bila malipo mpaka mwezi wa tisa mwanzoni. Nawatakia kila la kheri kwenye haya mapambano. Tukumbuke tu huu mchezo hauhitaji hasira. Team unayoiamini ndiyo mara nyingi inachana mikeka.
 
Over 0.5 kupewa odd ya 1.67!!!???
Over 0.5 first half ni 1.32
Over 0.5 full time 1.03
Over 0.5 second half 1.19
Away team (chungju) over 0.5 ndio 1.60..... Unaongelea ya team moja ya away kupata goli bila shaka.....
 
Back
Top Bottom