Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,327
Hehehe..iyo ya HT ilkuwa ya kurudisha tu hasara ambayo ingepatikana kwa ile ya 0-0 baada ya wazee wenzangu wote kunionya, biashara ngumu sana, hopefully wazee wenzangu Rockcity native, Wa kusoma Buddy game hii imewarudisha kundini, sipati picha kama mngerudi ingekuwa in favour of me [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bet won
Amka uyabinye mkuu, umebakisha Patriotas tu tucheke...Mkeka wa kulalia
Ceara X1
CRB X1
PATRIOTAS 12
LA EQUIDAD X1
Odds 2.69
Usiku mwema wadau.
Amka uyabinye mkuu, umebakisha Patriotas tu tucheke...
Mkeka wa kulalia
Ceara X1
CRB X1
PATRIOTAS 12
LA EQUIDAD X1
Odds 2.69
Usiku mwema wadau.
Asubuhi mara nyingi wanakuwa hawapo hewan sikilizia hadi saa mbili au 3meridian Leo mbona hawapatikan online??
Awajamka bado?Asubuhi mara nyingi wanakuwa hawapo hewan sikilizia hadi saa mbili au 3
Inategemea. Sometimes unalipa sometimes haulipi. Kuingia rahisi kutoka ni ngumu kwa kuwa una uraibu kama dawa za kulevya.
inakuaje lakin mtu mweny malengo ya kimaisha unakuw addict na huu mchezo nimefatilia hata hapa hauna impact yeyote huu mchezo ivo vikaratasi vya kubetia hamli kila siku mnachana nashaur vijana wabetie pesa za madafu
kafungue banda la ushauri nasaha hapa umepotea njia hapakuhusu Pumbu wewee...inakuaje lakin mtu mweny malengo ya kimaisha unakuw addict na huu mchezo nimefatilia hata hapa hauna impact yeyote huu mchezo ivo vikaratasi vya kubetia hamli kila siku mnachana nashaur vijana wabetie pesa za madafu
Hahahahaaa...umemstahi sana mzee mwenzangu.kafanye yako unayoona yana mafanikio kiazi kitamu wewe.......
inakuaje lakin mtu mweny malengo ya kimaisha unakuw addict na huu mchezo nimefatilia hata hapa hauna impact yeyote huu mchezo ivo vikaratasi vya kubetia hamli kila siku mnachana nashaur vijana wabetie pesa za madafu
jeju unamuonaje aseeRoasso Kumamoto v Cerezo Osaka
Y ODDS 2.08
1W ODDS 4.28
Over 2.5 odds 2.29
Muhindi anautani na mm, lazima nijitoe ufahamu hapo. Roasso ni mbishi sana mechi za hivi karibuni. naiona over hapo wadau. maana hapo Y ipo, ila kunammoja ataleta ubishi kuongeza goli la tatu. Hii ni hela.
jeju unamuonaje asee
hiyo y yako nimeipenda tatizo mkekabet et hawajaweka hiyo opt kwa game hiyoJeju alimchania wakusoma majuz . Hwa wakorea sio wakuwapa ushindi wa direct. labda wacheki kwenye magoli.
kafanye yako unayoona yana mafanikio kiazi kitamu wewe.......
Sio kila kitu lazima uchangie kijana. Hata sisi tunapitaga kwenye majukwaa yenu ya KIBA NA DIAMOND lakini kwakua hayatuhusu na hatuelewi miziki yao tunanyamaza na kupita KIMYAKIMYA. Malengo yetu sisi yatatimia kupitia kanji.