Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimebet mechi4 m bet nimeshinda tatu, moja ya psv imekua cancelled, inakuaje hapo?
 
Hawa vasco
Biashara, hongera mkuu.

daah, thanx bro. ngoja nimuwahi general diaz nitupie 100k ya kulalia naona kama kuna Y nyeupe hapo. Niliweka stake ya hatari kaka. Hadi kupost humu mkeka nikawa nahofia jamani.
 
Nimerudi m-bet maana premier naona mapichapicha. Nimesuka kokoro mjiokotee.
 
Attachments

  • 1469344015700.jpg
    25.1 KB · Views: 27
wakuu msaada kwenye double result mfano wanacheza man u vs man city ukakutaa wameandika hivi man u/man city hii INA maana gani
 
wakuu msaada kwenye double result mfano wanacheza man u vs man city ukakutaa wameandika hivi man u/man city hii INA maana gani
Jamani!hebu pitia post zilizopita kuna majibu yote kuhusu betting pamoja na matumizi ..maana za options. Tatizo huwa tunapenda short cut
 
nimejaribu kuserch nimeshindwa kupata naomba unisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…