Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hyo unacheza hv..

2,000,000 / 2.05 = 975,610/- (unabet kwny kampuni nyingine yenye odds zinazolingana au juu zaid)
2,000,000 / 17.0 = 117,650/- (unabet kweny kampuni hiyo)

maana yake utabet jumla ya sh 1,093,260/- kwny matokeo yote.. haijalishi matokeo yatakuwaje unasubiri milioni 2 zako (wala haina haja ya kuangalia matokeo na kende zitakushukuru siku hyo)
Hahahaa...sijui wako wapi hawa watu embu waite, kila siku wanalialia tu humu leo fursa ya wazi kabisa wanashindwa kuchangamkia.
 
haha sijajua ni kampuni gani hyo na hatuwezi jua kama wamebadilisha hzo odds ama lah.. maana kama iliwekwa kimakosa watu wengi wataplace bet kweny hyo market na watagundua mapema..
Ni M Bet hao, bado iko vilevile aisee.
 
Daah, yani leo ningeliwa vibaya kweli mechi ya juve. Maana nimeweka 200k Premier kila nikicheza naambiwa error error, nikajikuta nimesusa kubet. kumbe ndio ilikua ponapona yangu. Asnte Mungu. Back to the bussiness.

FC Anzhi Makhachkala v Watford FC over 0.5 goals 1st half odd 1.40
Werder Bremen v 1860 Munich over 0.5 goals 1st half odd 1.30
total odds 1.82
stake 100k.
hapa naona network imetulia mkeka umeenda.
 
Back
Top Bottom