Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Niaje wadau, nimekuwa nikifatilia sana huu uzi taratibu, mie ni mdau mkubwa sana wa betting, nina wazo moja kama mtakubaliana nami.....naomba tutengeneze group la watsap maana ni easy kupata update mda wowote, kwa wale walio tayar na idea yangu comment namba yako nikuadd maana ligi mda si mrefu inaanza tuwe makini tuweze kukusanya pesa
Koma, na ukashindwe na kulegea kabisa (kwa lafudhi ya prezdaa)
 
1469268804959.jpg

Mwenye macho afanye yake
 
Back
Top Bottom