Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

inamaana ht results /ft results respectively.... kwa mfano wako ni kipnd cha kwanza ashinde man u afu full time man city aibuke mshind.
wakuu msaada kwenye double result mfano wanacheza man u vs man city ukakutaa wameandika hivi man u/man city hii INA maana gani
 
mkuu nawezaje kuchukua screenshot kama hii yako na kuitupia humu jamvini?


Unatumia simu au computer?
Kama unatumia simu ...
i. Za Android (e.g. Samsung), unabonyeza Power button + Volume button kwa wakati mmoja
ii. iOS (e.g. iPhone), unabonyeza Power button + Home button kwa wakati mmoja.

Kama unatumia computer, laptop au PC ... kuna button kwenye keyboard PrtSc ... bonyeza hiyo kuchukua screenshot. Then unaicrop kuchukua sehemu husika ... That's all.
 
wakuu msaada mbn nkiclik kweny bet now haikubali ttz nn kwny mkeka bet
 


Mchawi mwengine mmoja....nawalaaani kutokufanya vizuri ktk ligi
 
MZEE wa single...leo ulimchokoza kwa kokoro?wachawi kwenye kokoro ni kawaida yao
Aisee nilijaribu tu kutupia elfu 10 kwa mikeka ya Accumulator iyo ..........Single ndio game
 
pamoja sana mkuu Buddy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…