Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Helsinki anakanya aseee huku..... Usinichanie 6 .... Heri wasifike wengine
yan inabid uwashukur maana kilo ingeenda iv ivPremier sibeti tena jamani. Ngoja nirudi m bet tu hata kama option zao ni chache. Yan niweka 100k ili nimpe ponte preta na basel ushindi mkeka ukagoma kwenda. matokeo yake jamaa wamepata ushindi. Daiiimn
mkuu niongezee mtaji.. buku 5 tu... account ina 100 dohSlovan Bratislava
Halmstad
PSG
FH Hafnarfjord
ALL WIN...
Kwemakwema humu?
Inakera sana, mwezi mzima umeliwa na muhindi, siku umempata jamaa wa premier betting wanaanza kukuomba uwape kidogo,
Slovan Bratislava
Halmstad
PSG
FH Hafnarfjord
ALL WIN...
Kanikosesha mili 2 laki 9 over ya 2.5 yani network imekata hapathun hio babaaaaa
Mkuu vp?Aiseee
Mechi 9 odds 2.7...daah hii ni ngumu kumezaView attachment 370446
nimependa sana ulivyocheza mkuu.. hongera hata kama umeshindwa(ni mara chache sana ukitumia mda wako kufanya statistics kidogo tu ).. hyo yangu ila ni kimya kimya mkuu usimwambie mdau mwngne..
ila nimeshangaa sana hizo odds kwa over 0.5 mkuu.. ni half time ama?
Mkuu.... Nimestudy most matchez .... Nazozianalyse zinakuwa na 2+ (Buddy alishauri niwape /anawacheza wote 2+ kabakiza Halmstad)....View attachment 370446
nimependa sana ulivyocheza mkuu.. hongera hata kama umeshindwa(ni mara chache sana ukitumia mda wako kufanya statistics kidogo tu ).. hyo yangu ila ni kimya kimya mkuu usimwambie mdau mwngne..
ila nimeshangaa sana hizo odds kwa over 0.5 mkuu.. ni half time ama?
Pale ofisini kwao k/koo, kimsingi mfanyakazi wa premier betting anatakiwa ajue kwamba tunaliwa hivyo tukila aonyeshe ushilikiano piaEeh...hii imekaaje mdau? Hao jamaa wa Premier ni wapi hao...? Wa Primier online au kwenye vituo vyao...?
Mkuu.... Nimestudy most matchez .... Nazozianalyse zinakuwa na 2+ (Buddy alishauri niwape /anawacheza wote 2+ kabakiza Halmstad)....
Kuna hesabu zake nilizisoma sehemu..... Ntazitoa nkitulia nimekuwa nazitumia kama majaribio .... 90 % zimetoa 2+.....