Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daaaah, wadau hivi tunakosea wapi aiseee??!!! ... yani mechi zaidi ya 400 lkn bado kubashiri hata kwa magoli tu kwa timu 10 inakuwa ni issue? ... halafu ukiangalia mechi zilizoisha 2+, 3+, 4+ ni za kumwaga ...grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Huyu nae (Norway - division 2), eti kapewa odds ya 1.19 na mpinzani wake akapewa odds zaidi ya 15 ... na kwenye Over 2.5 wakawekewa odds ya 1.1.. na Under walikuwa na odds zaidi ya 3.5 ... lkn kaishia kufunga kamoja tu ...mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuu

upload_2016-7-24_22-7-41.png
 
Wakuu, mimi naona vipigo vimezidi, najipa likizo isiyokuwa na VIPIGO hadi Aug 13. Kila siku ni KILIO tu! Hizi ligi za Dr Mwaka ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

upload_2016-7-24_22-30-12.png
 
Huyu nae (Norway - division 2), eti kapewa odds ya 1.19 na mpinzani wake akapewa odds zaidi ya 15 ... na kwenye Over 2.5 wakawekewa odds ya 1.1.. na Under walikuwa na odds zaidi ya 3.5 ... lkn kaishia kufunga kamoja tu ...mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuu

View attachment 370469
ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Huyu nae (Norway - division 2), eti kapewa odds ya 1.19 na mpinzani wake akapewa odds zaidi ya 15 ... na kwenye Over 2.5 wakawekewa odds ya 1.1.. na Under walikuwa na odds zaidi ya 3.5 ... lkn kaishia kufunga kamoja tu ...mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuu

View attachment 370469
Hatari sana, wazee wenzangu mlikuwa mkisifia meridian kwamba kwa sasa iko njema kwenye kulipa, mbona mie nimetoa pesa saa tisa haijaingia na saizi naingia naona pesa imerudi kwenye account? shida nin hapo?
 
Yawezekana kulikuwa na shida mahala na ukizingatia weekend transactions ni nyingi zaidi ...
 
Wakuu, mimi naona vipigo vimezidi, najipa likizo isiyokuwa na VIPIGO hadi Aug 13. Kila siku ni KILIO tu! Hizi ligi za Dr Mwaka ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

View attachment 370485

Mimi hicho kitu kinaitwa "Likizo" kimeshanishinda kbs, hususani nkiwa nimeliwa af nkiona mimechi bweleleee lzm nitupie hata wa 2000. Hapaa nachungulia naona kesho mechi sio nyng sn ... namuibukia Kanji j'4.
 
Hatari sana, wazee wenzangu mlikuwa mkisifia meridian kwamba kwa sasa iko njema kwenye kulipa, mbona mie nimetoa pesa saa tisa haijaingia na saizi naingia naona pesa imerudi kwenye account? shida nin hapo?
pole sana mkuu. wapigie customer care wakusaidie kuchomoa hizo pesa...sometimes inatokea kuwa hivyo.
 
bro kujipa likizo nisaw na kukubali kumwachia kanji mtaji wako nikukomaa nae kwa stake ndgondgo ipo siku utamliza unawza jipa likizo had august bado ukaendelea kupigwa bora uyavumilie maumiv siku zngine yatakuja poa@tpaul
 
na hyo avatar ulowek yawezekan inachangia maan inaonyesha maumivu hahahahaa@tpaul
 
over 0.5 full game? ntakuwekea mechi ishirini league zikianza.. afu utaniambia.. ukiwa na app ya goal.com afu umeweka list ya game zako, kazi inakuwa ni kutoa mechi tu kwny list ikisha funga goli moja mpk unakuta huma mechi ya kukata (ikifika hapo unajua maana yake nn)..

kinacho kutisha hapo mkuu pri ni game nyng tu lakini kila game inajitegemea na kama ulikuwa makini kutafuta game nzuri bac ww ni kushinda mara nyingi kuliko kushindwa.. weka man city, barca, ,madrid, arsenal, galatasary, celtics, bayern, dortmund, atletico, man united, psg, na zinginezo nyng.. lengo langu ni kupata kati ya odds 1.5-1.75 zikizid alhamdulilah..

kingine ni kwmba shida ya wadau wengi ni kutokuwa na limit yake ya dau la kucheza.. utakuta leo anaweka 50 kesho laki kesho kutwa 80 nk.. utakuta unashinda laki 2 afu anacheza yote kesho unakuta huna kitu.. kama ni kucheza 50 basi ndo iwe kikomo chako kwa mda flan (miezi sita mpk mwaka)..
Zile mechi 13 niliweka 2-6 .... Ni kama odd 17 .... Lakini ningewapa option hiyo ya 0.5 .... Zilkuwa ni 2.7 flani
 
Hatari sana, wazee wenzangu mlikuwa mkisifia meridian kwamba kwa sasa iko njema kwenye kulipa, mbona mie nimetoa pesa saa tisa haijaingia na saizi naingia naona pesa imerudi kwenye account? shida nin hapo?

Ulitoa sh ngapi?? Kutoa anzia Buku TEN na kuendelea.
 
Back
Top Bottom