Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
POLEE AISEE nisaidie 3+ za leo nidesee maana una upepo na 3+
Leo hakuna mechi nyingi mkuu ...lkn unaweza kujaribu hapa = Odds 5.42
POLEE AISEE nisaidie 3+ za leo nidesee maana una upepo na 3+
Hahahaa inabidi serikali ianze kujenga centers za kushughulika na huu uraibu.Nmeshindwa kusubiri kesho ... ngoja nimskizie na haka kamkeka. Leo narusha ndoano moja tu.
View attachment 370708
Nyinyi mnaobeti mnaacha kufanya ya kulijenga taifa lenu nitawashugulikia na ninaposema nitawashugulikia, ninamaanisha na nitawashugulikia kwelikweli . Mnashindwa kufanya kazi mnakaa kubeti kubeti kubeti, nasema lazima niwapasue hayo majipu ya kubeti. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, nawambieni nitawatumbua kweli kweli.
We kisu cha ngariba nitaanza na wewe kukupasua hilo jipu la kubeti, unashindwa kufanya kazi unakalia kubeti. Ninaposema hivyo namaanisha.Naona umeingia chumba cha wanaume. Toka kiustarabu
Kwetu wengine hii ni part time job. Sasa sijui unataka tufanye kazi gani nyingine?We kisu cha ngariba nitaanza na wewe kukupasua hilo jipu la kubeti, unashindwa kufanya kazi unakalia kubeti. Ninaposema hivyo namaanisha.
Leo pesa yangu itarudi, mark my sentence
Consadole half time win
Marhem win
Stake ndeeeeeefuuuuuuuuiuiu
kwangu ndio biashara kola siku lazma nibet.Kwetu wengine hii ni part time job. Sasa sijui unataka tufanye kazi gani nyingine?
Umekosea jukwaaWe kisu cha ngariba nitaanza na wewe kukupasua hilo jipu la kubeti, unashindwa kufanya kazi unakalia kubeti. Ninaposema hivyo namaanisha.
Tulia wewe nenda MMU umekosea forum wew. Haa kamchezo watu wanaingiza hela ya kukuweka mjini na familia yako na ule bata uchoke bila kuadhiri shughul ya broker wa kubett. Hii ni starehe kama starehe nyingine Ebbo!We kisu cha ngariba nitaanza na wewe kukupasua hilo jipu la kubeti, unashindwa kufanya kazi unakalia kubeti. Ninaposema hivyo namaanisha.
[emoji5] [emoji5] [emoji38] [emoji106]kwangu ndio biashara kola siku lazma nibet.
Ngoja niwatafute.Hawa jamaa wanajitahid kubashir wapo GOOGLE PLAYView attachment 370723View attachment 370725
Tulia wewe nenda MMU umekosea forum wew. Haa kamchezo watu wanaingiza hela ya kukuweka mjini na familia yako na ule bata uchoke bila kuadhiri shughul ya broker wa kubett. Hii ni starehe kama starehe nyingine Ebbo!
Inaitwaje mdau?Aisee hio app nimechukia duh Jana ilikuwa hela njenje wamebashiri wamekosa nne tuu wamepatia zaidi ya kumi na tano
KufNyinyi mnaobeti mnaacha kufanya ya kulijenga taifa lenu nitawashugulikia na ninaposema nitawashugulikia, ninamaanisha na nitawashugulikia kwelikweli . Mnashindwa kufanya kazi mnakaa kubeti kubeti kubeti, nasema lazima niwapasue hayo majipu ya kubeti. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, nawambieni nitawatumbua kweli kweli.
Usiache kutumia vidonge vyako ...Uchizi hauponi shauri yakoNyinyi mnaobeti mnaacha kufanya ya kulijenga taifa lenu nitawashugulikia na ninaposema nitawashugulikia, ninamaanisha na nitawashugulikia kwelikweli . Mnashindwa kufanya kazi mnakaa kubeti kubeti kubeti, nasema lazima niwapasue hayo majipu ya kubeti. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, nawambieni nitawatumbua kweli kweli.