Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii ni biashara kamabiashara zingine
Usidharau watu hapa
Wengine wanaingiza kuzidi unazopata kwa siku

Hivi ninyi mnapotezaga muda kuwajibu watu ka hao?? ... dawa ni kuwapita km hujawaona hivi. Atajitathmini mwenyewe. Ili mradi tunafanya kitu halali na kodi ya serikali inalipwa, achaneni nae.
 
Jamani inaonesha sportpesa inafanya vizuri ona hapa wamewadhamini Hull
Vipi meridian na wenzake
 
Hivi ninyi mnapotezaga muda kuwajibu watu ka hao?? ... dawa ni kuwapita km hujawaona hivi. Atajitathmini mwenyewe. Ili mradi tunafanya kitu halali na kodi ya serikali inalipwa, achaneni nae.
Upo sawa mkubwa
 
Back
Top Bottom