Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Ninampango wa kukuza mtaji kwa ajili ya msimu ujao wa ligi. Nimebakiea na 12000/= tu. Naombeni odds 4 za uhakika nifufue uchumi jamani.
Sure mi pia nataka nianze kuvaa mabomu aisee ni mwendo wa single double au tri odd basDaaah woga wetu ndio umasikini wetu.....bado dakika kumi na kitu
Ndo ivo aiseeSure mi pia nataka nianze kuvaa mabomu aisee ni mwendo wa single double au tri odd bas
Hii ngumu kumeza kwa sisi wenye mioyo ya plastic unaweza kufa kwa presha. Mi nikiweka stake ndogo nakyla nikisema nijiongeze parefu wanakomba faida yote mpaka na mtaji.Sure mi pia nataka nianze kuvaa mabomu aisee ni mwendo wa single double au tri odd bas
WanaitwajeWaliowafuata tarehe 24 wamepatia 99%.
BankocepWanaitwaje
hahaa kaka tulikufa wote kwa wafaransa na juzi kwa wajapani...Thanks iam back
Nilizima simu kabisa nikaacha nyumbani nikaenda kulala kwa jilani. Hili jasho lisikie kwa mwenzako.Goli 3 wakusoma washa tu simu
Leo pesa yangu itarudi, mark my sentence
Consadole half time win
Marhem win
Stake ndeeeeeefuuuuuuuuiuiu
HahahaaaaaNilizima simu kabisa nikaacha nyumbani nikaenda kulala kwa jilani. Hili jasho lisikie kwa mwenzako.
Nilizima simu kabisa nikaacha nyumbani nikaenda kulala kwa jilani. Hili jasho lisikie kwa mwenzako.
Hii wanaita afe kipa afe beki
View attachment 370754
Thanks iam back