Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wale wa inplay mpen Marhemn ushindi,

mimi bado na draw pesa yangu naona vibanda vya M-pesa vinaishiwa kutoa 5M sio mchezo
Hehehe...nilisita, saizi ningekuwa naelekea kuzimia, wanapelekwa hasa wako na 34%BP wakishinda wamebet hawa.
 
#tatu(3) Bomba
Za kufunga mahesabu
1469466378879.jpg
 
-Vikingur Reykjavik 1/2
-Flamengo RJ Win
-Remo PA Win
-Universidad San Martin Win
-Rangers FC Win
 
Error, bet can not be placed...
Aisee ili nijipu kwa #premier betting
Mara ya tatu sasa napishana na pesa Inplay ya premier
 
Wa kusoma hongera sana najua leo umecheka sana
Hongera sana hongera sana
 
Jamani,kuna friend match ya SV AUSTRIA SALZBURG vs BURSARSPAR,naona SALZBURK kapewa win odd zaidi ya 8.Swali,ni je,hiyo salzburg ni hiihii ninayoifahamu mimi au nyingine? na kama ni yenyewe ndo kumaanisha ni kibonde kihivyo mpaka kiasi cha kupewa odd kubwa kiasi hicho?au kanji kajisahau ili watu tutupe jiwe gizani.



Hahaaha, goli zinasomeka Salzburg 0- 5 Bursa dk ya 77. Kanji hawezi kujisahau kiasi hicho [emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom