Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani,kuna friend match ya SV AUSTRIA SALZBURG vs BURSARSPAR,naona SALZBURK kapewa win odd zaidi ya 8.Swali,ni je,hiyo salzburg ni hiihii ninayoifahamu mimi au nyingine? na kama ni yenyewe ndo kumaanisha ni kibonde kihivyo mpaka kiasi cha kupewa odd kubwa kiasi hicho?au kanji kajisahau ili watu tutupe jiwe gizani.
 
Mi mwenyewe nimeshangaa sana ila na odd zake Tisa nimempa[emoji102] [emoji102] wadau waangalie hapo ni hela man
 
Habari ..
Naombeni Tips za leo .
Ni mgeni kabisa kwnye hili ...nilichojaribu kabla ya kufika hapa ni kupitia Site Mbalimbali za Betting .
Nimeipenda Meridian iko Friendly.

So kwa yeyote atayenishauri kuhusu Betting ya leo anipe kwa Base ya Mechi zilizopo Meridia .

Hope to hear soon.
 
Jamani,kuna friend match ya SV AUSTRIA SALZBURG vs BURSARSPAR,naona SALZBURK kapewa win odd zaidi ya 8.Swali,ni je,hiyo salzburg ni hiihii ninayoifahamu mimi au nyingine? na kama ni yenyewe ndo kumaanisha ni kibonde kihivyo mpaka kiasi cha kupewa odd kubwa kiasi hicho?au kanji kajisahau ili watu tutupe jiwe gizani.
sio hio mkuu yenywe n red bullsalzburg
 
wa kusoma tupe hiyo screenshot tuibandike pale juu ili kukata midomo midomo ya watu wanaodhani tuna poteza muda
 
Mr. Q sceenshot mbona niliweka au mnataka ya malipo ya Mkekabet au!

Mbona tukiliwa hamuombi screenshot? Subiri nakuwekea kaka
 
Asante sana Root!

Sometym inabidi kujitoa akili tu. Hiyo hela niliweka kwa Simbanking hlf nikaenda kulala kwa jilani
 
Mr. Q sceenshot mbona niliweka au mnataka ya malipo ya Mkekabet au!

Mbona tukiliwa hamuombi screenshot? Subiri nakuwekea kaka
ooh sikuiona kaka ngoja nipekue pekue ila hata ukiweka sio mbaya
 
Leo baada ya wiki kadhaa za maumivu muhindi imebidi azime mitambo kwanza ya Meridian ajitafakari, mie sikuwa likizo wazee wenzangu yaani saizi mkiona kimya jua vipigo vimetamalaki, TATIZO nimetoa ya bia na kitimoto tangu saa nane lakini mpaka saizi hakuna kitu, kwa hisani ya in plays za tennis.
 
Back
Top Bottom