Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakusoma Mungu akubariki nlijua huwa unaandika tuu dau kubwa afu ukijifungia kwako unaweka dau la mbuzi...hakika matomaso tupo wengi na leo umetoa funzo kwa tomaso wengine humu na wajue hii ni kazi kama kazi nyingine
 
Nimeweka Kachumbari Yangu Imeniletea 20k Kwa 2500 Wanaume Wengine Wote Wametimiza Wajibu Wao Ila SHREWSBURY Ameamua Anichanie.
Haya Acha Nilale Nshakosa Kahela Kakutombea Wakuu.
 
IMG_20160726_062944.JPG
 
Error, bet can not be placed...
Aisee ili nijipu kwa #premier betting
Mara ya tatu sasa napishana na pesa Inplay ya premier
Jaribu mobile version itakubali,japo haipo vizuri sana kwny kuttafuta timu
 
Back
Top Bottom