Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

uploadfromtaptalk1469524529921.png
 
Hahaha...watu kazini, utukufu kwake aliye juu.

Kuna tatizo gani jf tangu jana nashindwa kuupload screenshots.
 
BET WON !!

Mkuu ulihitaji Odds 2, nikakupa hizo 5.42 ... km ulifuata hongeraa!!
nilifaata mkuuThanks sana nisaidie 3+ za leo pia jana mikeka yangu yoote ilichanika isipokuwa ulo nipa wa 3+
 
Mkekabet wameweka both team to score ya Juventus 2.1 hii HT. Na dk za mwisho Tottenham kacheza mpira mzuri mimi naweka 50,000 nipate hela ya jioni


Kutokuwa na hela ya kutosha ni kubaya sana ... hiyo game ikiipa Over 2.5 kwa 1m unapata 200K za wazi kabisa ... yani ni nje njeeee ... coz unahitaji goli moja tu hapo na lazima litapatikana second half

 
Back
Top Bottom