Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,984
Buddy hivi ukiweka laki ukala elfu ishirini kuna tatizo gani? Au kama huna hela kwa nini usiweke elfu kumi ukala buku mbili?Kutokuwa na hela ya kutosha ni kubaya sana ... hiyo game ikiipa Over 2.5 kwa 1m unapata 200K za wazi kabisa ... yani ni nje njeeee ... coz unahitaji goli moja tu hapo na lazima litapatikana second half
Hivi unaiona elfu 2 hela ndogo kweli, tamaa hizi ndio hutugharimu sana Buddy