dlnobby
JF-Expert Member
- Jul 30, 2014
- 2,513
- 3,350
BET WONBate
Dinamo zegreb
Shaktar donetsk
All win
Kama ulifuata hapo juu basi muhindi huko anakuhesabia pesa zako
BET WONBate
Dinamo zegreb
Shaktar donetsk
All win
Pole mkuuuBET Lost !! [emoji16][emoji16][emoji36][emoji36]
Sina nafuu hakyanani [emoji134] Sparta P
Zagreb
Bate
Shaktar
ALL WIN
Hiyo ni pesa mkuu...Kila la kheri
Kanjibah! Lost moneyHi!
Dinamo Zagreb
Bate
Wezi wazuri sana aiseee ndo mana wamezingua kwenye kuona mikeka hadi uingie kwa pc au badili simu kama desktop wamenishangaza narudi meridian rasmiHahahahah inamaana ni wezii eeehhh
Hahaha...mie meridian nilitoa 40,000/= jana, usiku naangalia 20,000/= imerudishwa kwenye account na 20,000/= nyengine haipo kwenye reserved na wala haijaingia M Pesa, washenzi sana.Wezi wazuri sana aiseee ndo mana wamezingua kwenye kuona mikeka hadi uingie kwa pc au badili simu kama desktop wamenishangaza narudi meridian rasmi
hii error unaitoa vipi?Iyo error hutokea mara odd ulizobet zimebadilika wakati wewe bado hauja place a BET
Iyo error hutokea mara odd ulizobet zimebadilika wakati wewe bado hauja place a BET
mkuu niaje nisaidie 3+ ,walau kanjbah anitumie hela maana najikutaa namtumia tuu yeye..OK mkuu, kwa hiyo solution yake ni ku-cancel mkeka na kuanza upya au?
Inazingua sana yani afu ukute una match tano za 2+ kwenda kuzifukunyua unachukua mda ukirudi odd zimechange unakumbana na Error unaanza upya mpaka match zinaana. Mi naona Bora wangeacha ilivyochokuwa zamani ukiwa unasubmitt inakwambia odd zimechange unaclick ok unaendea ilikuwa bomba sana.Iyo error hutokea mara odd ulizobet zimebadilika wakati wewe bado hauja place a BET
Jiangsu suning win
Guangzhou R&F win
Shanghai shenua2+
Tujadili hao wachina hapo wakuu kuna odd kama 6
Buddy&Wakusoma, mtoto wa nzi vp hao wachina wa saa nane mnawaonaje hata kwa 2+ wanaenda hao
Ngoja nitembee nao