Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani wale wenzangu wa madau makubwa kuna mechi ya Asec na zesco hii kunauwezekano wa kutoa Y. Mm tayari nishajinyonga Mda huu.
 
Hii kazi ya kubet ni ngumu sawa kabisa na kuponda kokoto au kuli wa kupakua mizigo bandarini
 
Mechi za kujitoa kafara ni nyingi leo. Kama unapesa ww tulia tu. Hawa wachina tupieni stake za kawaida tu mwisho 50k. Ila someni mechi ya Zamalek, Zesco na Monaco. hapo kuna Y zitatokea.
 
Hawa jamaa hawa!!! Mi nimepata shida sana kweny kuweka Bet....Yaan kuweka Bet kwenyewe ni kuBet tayaari..hhahahahhahahaahahahaahahahhahahah...Premier wameanza kutuchosha...

Wanasema lile ttzo la "Error, cannot place bet ..." wameshalitatua. Ngoja nitajaribu kutupia mkeka huko baadae.
 
wadau mkeka bet tangu waje na muonekano wao mpya sijatupia kabisa. Kima chao cha juu kucheza sh ngapi jamani. Maana hawa premier washanichosha. Yan nimekumbuka kuna laki yangu hawajarudisha wiki ya pili sasa. Bora nirudi mkeka tu. Maana juz kati nimesuka nondo zangu za ukweli et bet error mwisho wasiku wanakutoa kwenye reli hivi.
 
Sasa hv premier fresh mbona
 
Back
Top Bottom