Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Shanghai Shenhua kazingua duuuh ... goli kapata dk ya 9 halafu game ikasimama na goli hilo hilo dk 90 ... heheheheh, kaazi kwl kwl. Wengine fresh, wametoa 3+
Hume city n.a. Hummel dah grrrrrrr
 
OK mkuu, kwa hiyo solution yake ni ku-cancel mkeka na kuanza upya au?
Yea una clear BET SLIP nakuanza kisha una place a BET faster before odd hazija change, Nilikuja kugundua nowdays odd ziki change tu while ulishachagua uki place BET inaleta iyo error
 
BET WON/.....Huu niliuweka asubuhi sana hata kabla cjaenda kazini mida ya saa10 alfajiri
upload_2016-7-27_18-46-59.png
 
Tangia mkekabet waweke muonekano mpya nashindwa kuongeza pesa kwa accnt kwa kutumia sim ata procedures sizioni tena

Nijuzeni wadau m betting wananifilisi mwenzenu.
 
hii error unaitoa vipi?
Yea una clear BET SLIP nakuanza kisha una place a BET faster before odd hazija change, Nilikuja kugundua nowdays odd ziki change tu while ulishachagua uki place BET inaleta iyo error

Solution nyingine ni kuifata game husika iliyobadirika odd na kuiondoa ama kuibetia upya
 
Yea una clear BET SLIP nakuanza kisha una place a BET faster before odd hazija change, Nilikuja kugundua nowdays odd ziki change tu while ulishachagua uki place BET inaleta iyo error



Thanks mkuu. Hata hivyo naona wamerekebisha sasa. Nilijaribu muda flani kuna ile error ya zamani "Odd has changed" ... then uki-OK unaendelea km kawa.
 
Back
Top Bottom