Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nyinyi mnaobeti mnaacha kufanya ya kulijenga taifa lenu nitawashugulikia na ninaposema nitawashugulikia, ninamaanisha na nitawashugulikia kwelikweli . Mnashindwa kufanya kazi mnakaa kubeti kubeti kubeti, nasema lazima niwapasue hayo majipu ya kubeti. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, nawambieni nitawatumbua kweli kweli.
Kirusi mkubwa wewe! Ingekuwa kubet sio kazi ingeruhusiwa na serikali? Kahaba mkubwa!
 
Daaah mnanipa hamasa wakuu ... nna 100K hapa. Nipeni Odds 'nitokemo' na mm leo. Nahitaji 180K ya Road License ili nitii sheria bila shuruti ... maana wazee wa seva noma sn.

Hamia Mkeka bet kwa ushauri
Hao meridian hela yako ila unaipata watakapo taka wao na sio wewe
 
hawa singapoo unawaonaje plus malaysia
 
Kama tukiweka akili kuwa hii nibiashara hakika hatutakuwa twalia hapa
Kuweka kuanzia 100,000 kushuka chini ni kupoteza muda tu
Yaani kiufupi kupata ni ngumu
Just imagine ukiweka 100000 kwa odd 3 unapata faida ya 150,000 hivi
Ila ukiweka 1000000 unapata faida ya zaidi ya Milioni 1 na nusu

Higher the risk higher returns
 
ndio kanuni ya biashara.
 
Hamia Mkeka bet kwa ushauri
Hao meridian hela yako ila unaipata watakapo taka wao na sio wewe

Mimi nipo kote kote mkuu ... nkiwa ninashida ya hela ya fasta fasta nitupia mkekabet, nikiwa sina presha ya hela natupia meridianbet ... hata ikichukua siku 3 poa tu. Lakini mkekabet ni pale hela ya mboga imekata unamwambia bibie aanze kupika ugali unaenda kufuata mboga.
 
hawa singapoo unawaonaje plus malaysia

Game ya Albirex Niigata vs Tampines nahisi itakuwa ngumu kidogo, ukiwapa 28+ au II> itakuwa mwake. Hiyo ya DPMM vs Home Utd, naona 1X au 3+ ni mwake.
Malaysia siwasomi vizuri hao ... mechi nyingine wanaweza wakatoa 0-0, nyingine 2+, 3+ etc ... kifupi huwa nawakwepa mara nyngi.
 
Mimi nipo kote kote mkuu ... nkiwa ninashida ya hela ya fasta fasta nitupia mkekabet, nikiwa sina presha ya hela natupia meridianbet ... hata ikichukua siku 3 poa tu. Lakini mkekabet ni pale hela ya mboga imekata unamwambia bibie aanze kupika ugali unaenda kufuata mboga.
Hahahahaa...afu unatuita sisi makomedinz, afu mtu anarudi mikono mfukoni macho mekundu.
 
Game ya Albirex Niigata vs Tampines nahisi itakuwa ngumu kidogo, ukiwapa 28+ au II> itakuwa mwake. Hiyo ya DPMM vs Home Utd, naona 1X au 3+ ni mwake.
Malaysia siwasomi vizuri hao ... mechi nyingine wanaweza wakatoa 0-0, nyingine 2+, 3+ etc ... kifupi huwa nawakwepa mara nyngi.

Absolutely,, nimepitia pitia singapore nimeona Niigata ana game ngumu, GG inaweza kukubali hapo coz wote wapo vzr..... Home united nimemkimbia but kama upo meridian cheza Away team goals 1+ anaweza akapata goli
 
Back
Top Bottom