Magulumelafulu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2021
- 623
- 716
Woman united watoto wao mchana wamenichania mkeka[emoji24]Huyu man u ni matako nini? Mbona anachomolewa tu magoli mbwa huyu na nimempa hela yangu ashinde na nimemuweka yeye tu matako ya ngamia huyu siji kumuweka tena hata sijui leo nimemuwekaje Malaya huyu! Sijui huyu muhindi ana kiini macho huyu sio bure