Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Unauhakika humu hawali?
Kwenye betting hakuna uhakika mkuu, ndio maana unaitwa mchezo wa kubahatisha. Ila kwa mtazamo wangu huu mkeka una asilimia 60% za ushindi.

NB.Ndugu maafisa ubashiri wenzangu, ukweli ni huu mkeka wowote wenye multiple selections unaoanzia odds 5 na tuendelee uhakika wa kuwin huanza kuwa mdogo sasa, huwezi kukosa wapumbavu kama kina Frankfurt.

Kinachotu cost wengi ni mitaji, ila nina uhakika humu ndani kuna watu huwa wanapata hadi team mbili hadi tatu kwa siku walizo na uhakika nazo kuwa zinatoa matokeo. Changamoto huja pale zinapoongezwa team zingine ili kupata odds nzuri.

Naamini kama mtu unaweza kupata odds 1.5 hadi 2 ni odds nzuri kabisa za kukupatia pesa nzuri tu ikiwa utaweka stake nzuri.

Mfano, unaweza jiuliza, hivi ukiwa unapata 50,000 faida kwa ticket moja kuna ubaya? Hayo mamilioni tunayoyafukuzia kila siku tunayapata kweli?

Maisha ni mwendo wa pole ndugu zangu, kuliko hasara ya kila siku ni heri faida ndogo ndogo. Kwa kulijua hilo kina Mo na Bakhresa wananunua mitambo na mashine za mamilioni ili waje kutengeneza maandazi ya 100/200 hii ndio siri ya mafanikio.

Hiyo 20,000 - 50,000 tunayoiona ndogo kuna mtoto wa mtu anaamka saa 10 usiku anafua, anapika, anaangalia watoto, usafi na matusi juu ili aipate ndani ya mwezi.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…