Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwenye betting hakuna uhakika mkuu, ndio maana unaitwa mchezo wa kubahatisha. Ila kwa mtazamo wangu huu mkeka una asilimia 60% za ushindi.

NB.Ndugu maafisa ubashiri wenzangu, ukweli ni huu mkeka wowote wenye multiple selections unaoanzia odds 5 na tuendelee uhakika wa kuwin huanza kuwa mdogo sasa, huwezi kukosa wapumbavu kama kina Frankfurt.

Kinachotu cost wengi ni mitaji, ila nina uhakika humu ndani kuna watu huwa wanapata hadi team mbili hadi tatu kwa siku walizo na uhakika nazo kuwa zinatoa matokeo. Changamoto huja pale zinapoongezwa team zingine ili kupata odds nzuri.

Naamini kama mtu unaweza kupata odds 1.5 hadi 2 ni odds nzuri kabisa za kukupatia pesa nzuri tu ikiwa utaweka stake nzuri.

Mfano, unaweza jiuliza, hivi ukiwa unapata 50,000 faida kwa ticket moja kuna ubaya? Hayo mamilioni tunayoyafukuzia kila siku tunayapata kweli?

Maisha ni mwendo wa pole ndugu zangu, kuliko hasara ya kila siku ni heri faida ndogo ndogo. Kwa kulijua hilo kina Mo na Bakhresa wananunua mitambo na mashine za mamilioni ili waje kutengeneza maandazi ya 100/200 hii ndio siri ya mafanikio.

Hiyo 20,000 - 50,000 tunayoiona ndogo kuna mtoto wa mtu anaamka saa 10 usiku anafua, anapika, anaangalia watoto, usafi na matusi juu ili aipate ndani ya mwezi.View attachment 2835079

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Well said.100% probability ya kucha odd 5 kushuka chini ni ndogo sana.tuseme almost kwa mwez unaweza chana mara 4 au 5.all in all mtaji ndio kikwazo cha wakamalia wengi.
 
IMG_3536.png

Lipukaaaa
 
Well said.100% probability ya kucha odd 5 kushuka chini ni ndogo sana.tuseme almost kwa mwez unaweza chana mara 4 au 5.all in all mtaji ndio kikwazo cha wakamalia wengi.
Ndio hicho ninachosema Mkuu, hata kama betting ni bahati kushinda odds 1.5 ni rahisi kuliko kushinda odds 10, 15, 20 .

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Maofisa ubashiri kuna jambo haliko sawa.
Kuna treni la mechi 49 lilikuwa linatembea vizuri mpk kama dakika 4 zilizopita zilishatick mechi 26 Betpawa wamelipoteza halionekani kwenye settled wala open.
Hii case mmewahi kukutana nayo?
 
Well said.100% probability ya kucha odd 5 kushuka chini ni ndogo sana.tuseme almost kwa mwez unaweza chana mara 4 au 5.all in all mtaji ndio kikwazo cha wakamalia wengi.

Bro usijidanganye mimi nina mtaji na nimeshacheza sana odd chache (chini ya 5 zinachana vibaya mno na zinauna kuliko treni)
Yule bayern leverksen/liver siku zote si wanatoa magoli zaid ya mawili? Sasa chukua milion weka mechi za weekend hii hizo mbili pekee uone kama hujachaniwa
Yaan me mpk huwa nashangaa sijui kubet kuna kalaana tean inaweza kuwa ina perform balaa ila ukiiwekea hela ndefu siku hiyo inakuchania [emoji27]
 
Maofisa ubashiri kuna jambo haliko sawa.
Kuna treni la mechi 49 lilikuwa linatembea vizuri mpk kama dakika 4 zilizopita zilishatick mechi 26 Betpawa wamelipoteza halionekani kwenye settled wala open.
Hii case mmewahi kukutana nayo?
Hahahah mkuu hilo limeshaanguka. Kwa sababu una lost nyingi kwenye settled betslip ndio maana hulioni. Hiyo inatokea kama treni ni siku nyingi. Endelea ku'scrow down utaliona tu.
 
Ili ujue betting ngumu nimeweka mzg kwa
Match ya liver itoe 2.5
Bayern leveks itoe over 2.5
Man city itoe over 2.5

Mpk sahiz liver dalili hakuna na wakat kila mechi ya liver huwa ina goli nyingi

Betting haina formular unaweza iamin hata city pekee ukacheza mechi moja direct win na bado isitoboe
 
Back
Top Bottom