UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 3,149
- 14,407
Daaaah!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna muda ukifika unakuta Timu zinapewa mitusi na Laana kama zote 🤣🤣🤣
Yaan ni burudaaannii
Daaaah!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna muda ukifika unakuta Timu zinapewa mitusi na Laana kama zote 🤣🤣🤣
Yaan ni burudaaannii
Nenda kwenye jukwaa lao Man Ciy uone balaa😁Daaaah!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unajua Mazoea,ILA hata akipata matokeo BADO uchezaji wake sio mzuriSasa itabdi sisi wakamalia tuanze kumtenga ManCity mana katutesa sana hzi wiki kadhaa..[emoji17]
Tena Single bets nyingi tu zimechana leo.Mpaka single imechana kmamak
[emoji1787]bado hamjasemaHALAND na HAJI MANARA bora yupi
kuna jamaangu nilimwambia villa wako vizuri kuliko man cty hakunielewaSasa itabdi sisi wakamalia tuanze kumtenga ManCity mana katutesa sana hzi wiki kadhaa..[emoji17]
pole mkuu mimi nilikuwa nimempa awin either half alikuwa kwenye mkeka wangu(treni) ilipofika half time tu nikacash out 48k fasta...yani second half hawakupiga shuti hata moja,inaweza ikawa ni mara ya kwanza toka kuanzishwa kwa man city wakamaliza mchezo wakiwa wamepiga vishot viwili tuNikeshi auti 2000 nilikua nmeweka 50000 kwa city
Sema ni mara ya kwanza chini ya utawala wa Guardiola. City miaka ya nyuma ilikuwa kibonde kashuka sana darajapole mkuu mimi nilikuwa nimempa awin either half alikuwa kwenye mkeka wangu(treni) ilipofika half time tu nikacash out 48k fasta...yani second half hawakupiga shuti hata moja,inaweza ikawa ni mara ya kwanza toka kuanzishwa kwa man city wakamaliza mchezo wakiwa wamepiga vishot viwili tu
Mrusi sahivi anapanga bajeti ya kiasi cha hela za kuhonga,familia,kula bata na ada za watoto.NEY2N
City kashuka daraja mwaka gani?Sema ni mara ya kwanza chini ya utawala wa Guardiola. City miaka ya nyuma ilikuwa kibonde kashuka sana daraja
Mimi man city kasepa na single yangu.Tena Single bets nyingi tu zimechana leo.
Porto mwenyewe kasepa na kijiji