SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,517
- 5,049
Simba umekuwa mpoleMa bro nawapa ushauri Leo hatuwezi shinda hata mia...najua sitoagi odds kazi yangu kupunguza odds ngumu kumeza na kutuma edited ila naona Leo tumepanic, mechi zipo chache Sana na ni ngumu..mitaji imetuisha.. tujitahidi kutengeneza mikeka Bora Kama ya Jana...ukicheki Jana mikeka ilikuwa Bora ila tuliyowaamini dunia nzima ndo wamechana..ila Leo naona odds ngumu kibao mpaka draw etc..la sivyo tusubiri tu safari ngumu ya Tuesday to Thursday...
Najua Nina ngonjera nyingi leo ila codes za leo kuedit hata siwezi coz kila odds naona ngumu kumeza Nikisema niedit mkeka unaisha
Safi saaana,zam ya kanji kutunyooshaBaada ya mtaji kukata
Ni mwendo wa mia mia tu
6B709C sportybet
Hivi ni kwanin? 😆 Naona wengine Wana complain uki share codes tu humu basi ishakua balaa nadra sana kushinda japo naonaga mengine inashinda ila michache sana tena sana
Daah umetisha, nimeweka 50..nimetoa zenye odds kubwa kama timu saba ndio imeshuka 60M.581E060 sportybet
Kama kawaida weka Tshs 10 TU
Ooh mkuu leo tunaenda kinyume na sheria za kanji ni kutwanga tu ma odds atajijua huko,Ma bro nawapa ushauri Leo hatuwezi shinda hata mia...najua sitoagi odds kazi yangu kupunguza odds ngumu kumeza na kutuma edited ila naona Leo tumepanic, mechi zipo chache Sana na ni ngumu..mitaji imetuisha.. tujitahidi kutengeneza mikeka Bora Kama ya Jana...ukicheki Jana mikeka ilikuwa Bora ila tuliyowaamini dunia nzima ndo wamechana..ila Leo naona odds ngumu kibao mpaka draw etc..la sivyo tusubiri tu safari ngumu ya Tuesday to Thursday...
Najua Nina ngonjera nyingi leo ila codes za leo kuedit hata siwezi coz kila odds naona ngumu kumeza Nikisema niedit mkeka unaisha
Huyu jamaa ni TAPELI..KUWENI MAKINI..AMENILA ELA ZANGU JANA..NA SIYO MIMI TU WATU WENGI..UKISHA MTUMIA ELA (HIYO 40000)ANA KU BLOCK,NA ANAKUONDOA KWENYE GROP..View attachment 2838330
Mkuu dunia hii labda patel ndo akupe sure odds nae kingine hajui mechi itaishaje, achana nao hao, humu code zipo nyingi tena buuuuuuuure, ni wewe kueditHuyu jamaa ni TAPELI..KUWENI MAKINI..AMENILA ELA ZANGU JANA..NA SIYO MIMI TU WATU WENGI..UKISHA MTUMIA ELA (HIYO 40000)ANA KU BLOCK,NA ANAKUONDOA KWENYE GROP..View attachment 2838330
Sawa tu tuangalieSimba umekuwa mpole
Shortly wewe ndio imeanza kupanic mapemaaa.
Leo zipo Mechi zaidi ya 15 zenye kuweza kufanya lolote,Acha Bahati itembeee Mda
Hii ni Bahati Nasibu.
Yaani leo kuna watu wamekuwa Mshahara mzimaaaa.Walet zimeraruka vibaya mnoooo
Matumizi ya December yooote yamekatika.
Issue nikwamba Mechi ziliachiwa gape,sasa zile Rebet ndio ziliendelea kutafuta nafsi.
Kuna watu hawajaamka mpaka sasa
✅✅✅Wydad Vs Simba
Both teams to score - NO
1xbet: VM7PQ
*Stake high
sio kweli mbona mimi jana nimekula na mara nyingi tu nakula na code naokota humu humuKwakweli sielewi
Japo betting haina uhakika ila kuna zile code unatuma ukitarajia kupata lakini mambo yanakuwa sio mambo
Huu uzi una gundu
Codes nilizowahi kuweka hapa kati ya 10 zimetiki 4 tu
Soma nilichoandika mstari wa mwishosio kweli mbona mimi jana nimekula na mara nyingi tu nakula na code naokota humu humu
Nakushauri kama mwanangu..hii nguvu tumia kwenye sportybet utapata matreni yenye faida kwa odds ndogo tu2C24B20 treni BP odds buku tu! treni hili litamaliza machungu kwa wote tuliopigwa na kitu kizito jana!