Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,500
- 8,690
katika sportybet wana option ya onecut na flexible ni nzuri kwa matreni lakini wanakata sana
hoja mbovu kabisaUzuri bet power mfumo wao ni friend user compare kwa nyingine zote zilizobakia zipo complicated sana tunatamani kuhama maana hata odd wanapunja sana compare na wengine ila huko kwingine interface zao ni ngumu sana kutumia
poleLeo ni leo, asemae kesho muongo[emoji23]View attachment 2838068
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Najua hii mechi mkuu ilikutesa sana maana goli dakka ya 90+ spati pivha ulivyokua unatesekaDiscuss?!
View attachment 2838081
Relax mkuu, hiyo si BETPAWA ni PREMIER BET, sidhani kama kuna watumiaji humu, so ni vizuri kuweka team ili kila mmoja aweke anakochezea.Mkuu si tulikubaliana BET PAWA alafu mbona hamna codes
Huu ni uongo, nasema huu ni uongooo umeandika jamaa.Uzuri bet power mfumo wao ni friend user compare kwa nyingine zote zilizobakia zipo complicated sana tunatamani kuhama maana hata odd wanapunja sana compare na wengine ila huko kwingine interface zao ni ngumu sana kutumia
UKiona hizi dalili wewe pumzika tuNiliwin Kwa Bayern nikaangushwa na ac Milan
Nimetembezewa kichapo hadi kwenye corner
Hapa nazisaka odd 10 tu lakini sizioni naona Ni Yale Yale kama ya jana
Ukiona hizo dalili pumzika tu, tukutane weekend ijayo.Mikeka mitatu leo yote chali kila nikijipindua inachana team moja hakika kanji leo kapata pesa ya kuwatoa out familia yake visiwa vya miami.
Mkeka mzuri, ila huyo Lyon huwa ni mpuuzi mmoja tu. Ligue1 ukitoa PSG waliobakia usiwaamini.Kama Wewe Sio Muoga Chukua Hii (Odds 11)
Tottenham Hotspur Vs Newcastle United (Over 2.5)
Olympique Lyon Vs Toulouse Fc (Gg)
Vfb Stuttgart Vs Bayer Leverkusen (Gg)
Luton Town Vs Manchester City (Over 2.5)
Fc Lugano Vs Fc Winterthur (Over 2.5)
Atletico Madrid Vs Ud Almeria (1)
Kama Muoga Kama Mimi, Chukua Hii (Odds 2.4)
Tottenham Hotspur Vs Newcastle United (Over 1.5)
Olympique Lyon Vs Toulouse Fc (Over 1.5)
Vfb Stuttgart Vs Bayer Leverkusen (Over 1.5)
Luton Town Vs Manchester City (Over 1.5)
Fc Lugano Vs Fc Winterthur (Over 1.5)
Atletico Madrid Vs Ud Almeria (1X) au (12)
We ziunganishe na za wiki ijayoNiliwin Kwa Bayern nikaangushwa na ac Milan
Nimetembezewa kichapo hadi kwenye corner
Hapa nazisaka odd 10 tu lakini sizioni naona Ni Yale Yale kama ya jana
Ni kweli kabisa, ni ngumu kwelikweli.Kubeti ni shughuli pevu
Arsenal alidondosha mikeka yangu yote alivyoshindwa fikisha angalau 3 goals.Mrejesho. Wa jana vipi leteni majonzi tu share , mm nililiwa 25,000 net
Sport bet is the bestHivi tunaandika tukiwa na Akili zetu timamu au Betting ni freemason life style kwahiyo akili zinahama?
Hivi SPORTBETY ulinganishe na BETPAWA kweli?
SPORTBETY habari nyingine kabisaa
Arsenal kapakiwa mkongo
Hii kweli ni ngumu kumeza, mkeka wa kibabe.View attachment 2838688
View attachment 2838689
Jana Tumeshinda Hope Na Leo Pia
All the best. Weka Elfu 30