Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Saturday
IMG_20231209_224545.jpg
 
Pole kwa kulipia watoto wa kanji ada
[emoji1787][emoji1787][emoji23] sema wabongo mnamuona muhindi ni kama mwenzenu.

Ila leo wakamaria wamepigika sana yan ni vipigo vya mbwa mwizi.. ila bayern leo muhindi kapiga mabilion
 
Yaani nikiona mkeka wangu mmoja uliosalia kupita Vitisho vyote vya ulaya cjui Bayern cjui Madrid arsenal man u Brighton Brentford afu umekufa kisa mazembe na mwenzake wameshindwa kufunga hata 1 goal na ilikuwa hela nyingi napata..naona Kama jumamosi sio siku ya kubet ni siku ya kumtajirisha kanji
 
BETPAWA kafilisika kaliwa mabilioni

Hizo nyimbo za kupumbaza a naona ziliisha kitambooo.

Kuna watu mipango ya Maisha yote imevurugika.Mitaji imekata,cha kuuza hakuna,la kuazima pesa hakuna,Tarehe za Mshahara BADO,kanji amekula mpaka pesa ya kujikim mbaya Zaidi Umri na ikifika kesho inaongezeka.

Almost leo wengi tumecheza mikeka kwa ku rebet zaidi ya mara mbili,na kote chaliii

Hapa kila mti na wazo lake kichwani la Ninge Binge Binge.

Acha tuone Kesho nayo ni Day but tuBet kimkakati Familia ni Muhim kuliko kitu chochote
 
Leo kuna Mechi chache alafu NGUMUUUU BALAAA YANI NGUMU MNOO...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] cheza kwa step..
[emoji23] Hata mi nimeona aisee.

Ila jana nililiwa 19,000.
Badae nikasuka mkeka wa direct win kwa PSG. AJAX. PORTO, KAA GENT, INTERMILLAN, REAL SOCIADAD... nashukuru nilipata kiduchu maana mtaji ulishakata yaan.
 
Back
Top Bottom