Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

FB_IMG_1702150153364.jpg
 
wydad na simba wakitoa goli 2 ni bahati
Hata hivyo binafsi nailaumu sana TFF kwa kutuharibia timu,,,,,,,

Hizi timu zingekuwa zinacheza ligi na mechi za kimataifa zingefanya vnzur sana ,,,, kuliko kuwafanya wachezaji kama wanaenda kwenye bonanza!!!

Mechi nyingi mchezaji anakuwa active

Leo yanga hana mechi Hadi mechi ijayo ya caf,,, Simba nao vivo hivyo baada ya hii mechi ni likizo!!!

TFF ni maku- makukenge kweli kweli
 
Back
Top Bottom