Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi live alipigwa goli nikacheza live mkeka wa kwanza nikaweka 50k nashinda 90
Nimekaa dak zinaendda odd zikapanda nikaweka tena 100k apaate goli mbili nashinda 300 na ushee
Dak ya 90 wako 1-1 nikacash out mkeka mmoja nikarudisha 100k niliyobet si wakapiga cha pili so nimeshinda ule mdogo wa 90
Nimekuja bayern kapigwa 3 nikampa apate goli mbili imelala yooo sahiz nataman kumpa man u apate goli ila naogopa
Haha Nani alitegemea Bayern kupigwa 5? Nani alitegemea Man U kupigwa 3 mnunge? Kanjibahi anajua kutula vijisenti vyeti tunaoweka direct win maamae😩🙌
 
Baada ya kupata draw spania (Madrid)
Kichapo kikatembea england na German (man u_ Bayern Munich)
Wacha tuskilizie Italia kutatokea Nini
(Ataranta vs ac Milan)
Tukutane mida ya matusi lasmi
 
Wakamalia na kanjibai
20231209_090031.jpg
 
Back
Top Bottom