AfisaUbashiriMwandamizi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 794
- 1,139
BUndesliga wape over 2.5 goals.Hii kazi ni ngumu
View attachment 2837712
Huwa hawabaniani magoli.
BUndesliga wape over 2.5 goals.Hii kazi ni ngumu
View attachment 2837712
LAbda mtu azicheke kule betpawa alete codeMmoja atusaidie slip ya hapa Wakuu.
Kasharudi uyo ana 2 mpaka sasaRangers naye kaamua kudundisha nyoyo
Hivi Betway ameshaacha UTAPELI! na WIZI wake!? Ama amepunguza!?Wakuu mpo mnaendeleaje?
Upepo upo betway sasa hv, ana odds nzuri batpawa mkaushieni kwa sasa
Liverpool angefungwa ingekuwa maafa zaidi ya HanangLiver kafanya comeback moja ya kibabe
Pia kuna waliompa option ya over 2.5 goals😂niliongea jamani kuhusu Bayern kuwepo mikeka yote atatumaliza...anyways tusali Sana
Ngoja nikajisukie Zangu mkeka mpya.
Anaweza asifike over 2.5Kuna mwamba aliwahi toa elimu humu
Endapo ukiitilia mashaka timu kubwa at least tengeneza mikeka miwili inayoenda
1)away team or under 2.5
2away team or over 2.5
Waliotilia mashaka Leo hii timu ya Bayern wananufaika na option namba mbili
Yaani wote wa betpawa Hawa katika kutafuta bonusPia kuna waliompa option ya over 2.5 goals