Magulumelafulu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2021
- 623
- 716
Liverpool kaupiga mwingi mwishoni mpaka raha, Bayern naona nae kaanza kwa kudemka[emoji28]
Mwalimu Mpwayungu Village siku ya leo imeshakuwa ngumu. Bora tu tuka renew.Oya mazee gozi wanayopeleka Frankfurt nimeamini hakuna mnyonge nyumbani hata awe mwembamba vp, majamaa yanakita footage hatariiii [emoji853]
Iyo ni bundesliga kaka kadi huwa ni kugusa afu Bayern kashakufa 2 mbili hukoKwa wanaoangalia game ya bayern, itatoa kadi tatu kweli?
Bora MdauNiliona bora card aise maana bayern kichomi sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Bayern kafa la 3
Wala ajihami mkuu, bayern wanafunguka ila frankfurt wapo nyumbn kukumbuka na pia team za bundesliga huwa hawachezi kiuoga kupaki bus kama team ndogo eplTuchel huwa anajihami sana aise ila angekuwa yule nagelsmann ana mchezo wa kushambulia sana
NakaziaOLE WAKO U REBET utajuta.
Jidanganyeni naanglia mpira hapa kashapigwa 3 na wala sio kibahat hao frankfurt wanacheza kimbinu sanaNakazia