Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Liverpool Acha upumbavu wakooo Shenztaiga

Mikeka sita yote umenifanya nirebet nimuwahi Bayern.Buku 16 nyingine zimenitoka
Sasa ninamikeka 12,ahhhh

Halafu nyie SIMBA na YANGA huyu SANkARA KARAMOKO wa Asec Mimosas hammuoni?
Asec kama wanafanya mazoezi kwa Jwaneng Galaxy,Simba kazi ipo.
Hii jwanneng ni mbovu sana
 
Nipo naangalia mechi ya Bayern hapa duu hawa watoto wa Frankfurt wanatandaza mpira hatari wale tuliompa Bayern leo tujiandae kisaikolojia sijui kama atachomoka leo
Katika league ambazo zinafurahisha kutazama Kabumbu basi ni Bundesliga , kasi mwanzo mwisho, hakuna mtu ana mpango wa kupaki basi yaani njoo nije zamani walikuwa wanatuaminisha Bundes ni ligi ya kibabe mno lakini bwana tangu nimeanza kuifatilia aisee ni ligi tamu sana na kwa sisi maafisa ubashiri goli 1 au mbili lazima wakupe BTS KAMA NYUMBANI KWAO
 
kiuhalisia kumpa simba ashinde dhidi ya wydad ni kupoteza pesa yako. Mimi ni Simba ila hiyo mechi kutoboa ni 5% tu.
wydad hafanyi vizuri, lakini sisi ndio unga kabisa .. Baada ya kupoteza mechi mbili mwarabu hatakuja
kinyonge kitakachosaidia hapo ni mbinu za kocha lakini si ubora wetu
UNADHANI NI KIPI KINAUMA SANA KATI YA HIVI?

1.Umeweka Mkeka wa Timu 20 ambao ukishinda zote unapiga Milioni 10,Zikashinda 18 ukaambiwa U-Cash Out Milioni 9 ukaacha ukajipa moyo timu 2 zilizobaki haziwezi kuchana,mwisho wa siku zikachana na ukakosa hata ile milioni 9.

2.Umeweka Mkeka wa Timu 20 ambao ukishinda unapiga milioni 50,Timu 18 zimeshinda na zikabaki zimu 2,ukaambiwa U-Cash out kwenye hizo timu 18 ambayo ulikuwa unapiga 1.5 milioni,sasa baada ya zile gemu 2 ni kama ukawa uelewi hatimaye ukakeshi out,mwisho wa siku nazo zinashinda na wewe umekwisha kukeshi out!


Kipi hapa kinauma?🤣
Ya kukosa 9m
 
Bahati ya Liverpool one Tena kwa Bayern mhhh sijui.
Siku imeanza vibaya. Ngoja kwanza tusome upepo. Nani kanituma niwaweke hawa mbweha kwenye mkeka wangu? Ngoja nikarenew kabla mechi hazijaisha.
1702133890291.png
 
Back
Top Bottom