Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Liverpool Acha upumbavu wakooo Shenztaiga

Mikeka sita yote umenifanya nirebet nimuwahi Bayern.Buku 16 nyingine zimenitoka
Sasa ninamikeka 12,ahhhh

Halafu nyie SIMBA na YANGA huyu SANkARA KARAMOKO wa Asec Mimosas hammuoni?
Asec kama wanafanya mazoezi kwa Jwaneng Galaxy,Simba kazi

Liverpool Acha upumbavu wakooo Shenztaiga

Mikeka sita yote umenifanya nirebet nimuwahi Bayern.Buku 16 nyingine zimenitoka
Sasa ninamikeka 12,ahhhh

Halafu nyie SIMBA na YANGA huyu SANkARA KARAMOKO wa Asec Mimosas hammuoni?
Asec kama wanafanya mazoezi kwa Jwaneng Galaxy,Simba kazi ipo.
Asec keshapita huyo leo anaandikisha 7pts anawapiga Jwaneng Abdijan inakuwa 10pts hata simba tunapigwa abdidija tukikoswa sare ana uhakika wa 11 pts huyo
 
Back
Top Bottom