ZagaZagarino
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 431
- 589
Manyumbu Washapigwa 3 bila , Nasi angalau Pateni 1 mtoe hata GG
Mimi nataka iishe hivi, nimeweka under 3.5Manyumbu Washapigwa 3 bila , Nasi angalau Pateni 1 mtoe hata GG
Jana hivi alikuwa ni nani kila mkeka akapita nao,3[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee leo wakamaria tumekazwaa haswaaaaa ni nje ndanii
Acha kabisa mkuu. Hii siku ni mbaya mno3[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee leo wakamaria tumekazwaa haswaaaaa ni nje ndanii
Ndo ishatokea bado Brentford atulazeHapo ndo tatizo linapoanzia
Hii ni football mkuu wanaume 22 wanawania goli mala mia kucheza home/away japo ni market ya kioga lakini ndo Ile ya liwalo na liwe kama city Kwa Aston vila
😂Jamani tunaanza mgomo wa betpawa hatuchukui codes za betpawa humu ndaniUkiwa na mtaji ukaanzisha kampuni ya betting na ukapata wateja wa uhakika yaani ni kwenda kutafuta kisiwa unajichimbia ni mwendo wa kupiga pisi namba E tu yaani chuchu konzi
Maisha yanakua uhakika, Leo Hawa jamaa wanaingiza billions of money kiulaini kabisa
Ila na sisi wakamaria hatuna umoja, kanji akitupiga tunatulia, tukimpiga ye hata siku Moja eti anaondoa na bonus afu anapunguza na options, sisi kama makondoo bado tunabet tu huku majamaa Kila siku yanajiboreshea mazingira ya kutupiga za uso... Tunakula kama watumia unga bana... Naamini hata kampuni zote siku wakifuta option zote wakaacha direct win tu watu wataendelea kubet tu maana ishakua uraibu huu....
Wajinga kama betpawa ilipaswa watu wapige mgomo warudishe bonus au warudi Delhi kulima pilipili... Imagine unampa Bayern double chance odds 1.04 au Bournemouth win to nil unaweka no odds 1.02 bado kanji anapiga kwenye mshono afu wanatuletea masharti kibao
Kampuni ganiKuna tren nmelitupia humu naona Bado lnasurvive kama kuna alielifata tujuane mapema
Kwa Bayern umechomoka umekamatwa na Royal Antwerp 🤦♀️