Wadau kwa anae jua app inayooneaha game za EPL live nataka nione kama ntaona game ya arsenal
Koora tv
Wadau kwa anae jua app inayooneaha game za EPL live nataka nione kama ntaona game ya arsenal
[emoji120][emoji120][emoji120]Koora tv
Nimeona minimum odds 1.2 ni wale waleYupo vizuri
Playstore naona zipo nyingi sjui itakuwa ipi kati ya hzKoora tv
Hamisha sporty tu mkuu[emoji81][emoji81]tuna malzia stake iliyo baki. Kui amishia kwingne itakua uchawi
Matapeli hao wacheck mkuuWakuu hawa sportbety sijawaelewa hapo wameniwekea lost kwenye game ya verona na lazio wakati nimeweka under 2.5 na mechi imeisha 1-1,Sijui ndo wameamua kunifanyia janja janja ili nisiweze ku cash out,maana mkeka umeondolewa kabisa kwenye open bet.
View attachment 2837838
Wafate waulize labda wamejisahau ata mimi najua hivyo hivyoWakuu hawa sportbety sijawaelewa hapo wameniwekea lost kwenye game ya verona na lazio wakati nimeweka under 2.5 na mechi imeisha 1-1,Sijui ndo wameamua kunifanyia janja janja ili nisiweze ku cash out,maana mkeka umeondolewa kabisa kwenye open bet.
View attachment 2837838
Mkuu huku si ndo tumekubalina tunarudi tena imekuwaje kuwaje🙁Matapeli hao wacheck mkuu
Ni basi tuHizi timu zenye mechi weekend za Ligi ni wapuuzi sana. Frankfurt anacheza na Bayern wkend, so mechi ya leo wachezaji almost wote sio first eleven
Aston villa ameshinda game 14 mfululuzo villa park,wew ni nan mpaka ujiamini umfuate Arsenal mazimaArsenal is just sayin hi to you all...
Playstore naona zipo nyingi sjui itakuwa ipi kati ya hzView attachment 2837842
Safi sana, Onesha Mfano.Dortmund kupata goli kapewa odd 2 turudishe mitaji iliyoliwa leo weka lakin3 upate laki 6
Hata kama ana redcard atapata goli trust
Bora wewe umeona Hata cash out wengine mikeka yote tuliambiwa cash out unavailableLeo nimepigwa Hadi kizunguzungu mbwa mie naitamani hata hii buku 10 niichukue hapo😱