Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huu ni uongo, nasema huu ni uongooo umeandika jamaa.
Kama huwa unaweka mkeka huo huo sites tofauti utaona betpawa kwa sasa wanaiba kwenye algorithm yao, unavyoongeza mechi total odds haziongezeki kwa kadri odds za mechi zilivyo.
Mimi nimeongea kwa habarinya urahisi wa kutumia ipo wazi sana na sio complicated km hizo web app nyingine ndio maana watu wanaemdelea kukomaa na home is home badala ya kukimbilia sehemu ambayo ni kumu sana kucheza na mikeka hata kuiona pia ni ngumu they have to learn from bet power upande wa wizi wa kihesabu ni kweli hilo sipingi wanaiba na tutaendelea tu kutumia
 
Dah mahaba upofu kweli bet power kuedit mkeka kazi, Mara mkeka ukute settled Mara uukute all in all do your favour
 
Mimi nimeongea kwa habarinya urahisi wa kutumia ipo wazi sana na sio complicated km hizo web app nyingine ndio maana watu wanaemdelea kukomaa na home is home badala ya kukimbilia sehemu ambayo ni kumu sana kucheza na mikeka hata kuiona pia ni ngumu they have to learn from bet power upande wa wizi wa kihesabu ni kweli hilo sipingi wanaiba na tutaendelea tu kutumia
Aya mkuu
 
Huwa sipendi itaja kampuni nayopenda betia, ila kwa huu mjadala naomba niitaje. Mimi kwangu best site ya kubetia kwa Tz ni premier bet.

Ndiyo maana nikawa najiuliza ulivyoandika ujumbe wako hapo juu kama ulishawahi survey bet sites zote.

Nimeanza uafisa ubashiri 2016, enzi zile mbet ndiyo ilikuwa bomba zaidi. Nilishaiacha, ila hizi kampuni zote zilizokuwepo na ngeni tokea 2016 nilishazijaribu.
Humu huwa nawashangaa baadhi ya watu wanabetia kampuni zisizo na usajili wala ofisi Tanzania.
Hivyo unavyoisifia betpawa pekee napata mashaka huendi hujafanya study yako vyema au unamaslahi unayoyaficha na betpawa
 
Huyu jamaa ni TAPELI..KUWENI MAKINI..AMENILA ELA ZANGU JANA..NA SIYO MIMI TU WATU WENGI..UKISHA MTUMIA ELA (HIYO 40000)ANA KU BLOCK,NA ANAKUONDOA KWENYE GROP..View attachment 2838330
wewe utakuwa mgeni kwenye betting, ndiyo unaanza kubet. ukishabet kwa muda mrefu utakuja kugundua kwamba hakuna muuza odds muaminifu, wote ni matapeli.

binafsi nikimwona admin wa group la kubet profile picture yake kaweka vitu vya luxury na mandhari ya kifahari, basi najua huyo ni tapeli wa kutupwa.

siku nyingine usinunue mkeka, hakuna mkeka sure
 
jina lako la kuuza bando linanikumbusha tapeli mmoja muuza bando wa telegram anaitwa Grace Bundles, yule mjinga ikafikia stage group zima mpaka wajinga akashtukiwa ni tapeli. mpaka leo bado yupo tu hakomi.

betting imekuwa ngumu mpaka watu wanaanza kuwawinda watu baadala ya mikeka.
Yani humu Kila mkamaria ni Tomaso.!!

Izo postpaids mbona zipo kitambo tu na ndo zinawaweka wadau mtandaoni sikuizi?
 
wewe utakuwa mgeni kwenye betting, ndiyo unaanza kubet. ukishabet kwa muda mrefu utakuja kugundua kwamba hakuna muuza odds muaminifu, wote ni matapeli.

binafsi nikimwona admin wa group la kubet profile picture yake kaweka vitu vya luxury na mandhari ya kifahari, basi najua huyo ni tapeli wa kutupwa.

siku nyingine usinunue mkeka, hakuna mkeka sure
Ukiona mtu anatuma Hela aungwe kwenye group kwamba atapata odd za uhakika huyo ni TAHIRAAA.. hata elfu 1 usitoee bora ubetieee..! Anyway labda ni mgeni kwenye kubet pole yake.
 
HIi weekend imevaa bukta, picha lulikuwa clear kuanziq mechi ya B.Munich kuwa hii weekend ni don't touch.
Kuna watu toka B.Munich kachana wanaendelea rebet tu, ila ile mechi ya timu kubwa awali ilitoa ishara tosha kuwa hii weekend imevaa bukta.
Celtic shwaangi.
Club burge shwangiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya mkeweke tena hela mamaee hakuna cha option ya magoli wala direct win
 
Back
Top Bottom