Ukichukua mkeka mama unaedit siyo unakwenda tu kama chawa wa ccm ...hii ni mikeka mama mimi nishakula sh 20000 kutoka edit ya huu mkeka fanya positive edit nyingi iwezekanavyo tia hata 200 kila editWe jamaa wakala wa kanji ww
***** huu utapeli mtupu nishawali lipia kwa jamaa siku akibahatisha anaomba unitumie tena chochote. Anasemaga tutume screenshot . Anachukua won ticket huko analeta kujifanya yeye mwamba hili uvutiwe .Acha lawama SELE hawa Miamba wanajua mm nimejilipua nikajiunga
![]()
![]()
5/7 tayari zimetoa, tunachukua cash out au tunamsubiri Slavia na Berkane?
Huyu jamaa ni mpumhavu Sana na anajua atumfagiliii***** huu utapeli mtupu nishawali lipia kwa jamaa siku akibahatisha anaomba unitumie tena chochote. Anasemaga tutume screenshot . Anachukua won ticket huko analeta kujifanya yeye mwamba hili uvutiwe .
Kama unashinda accurate daily kachukue mkopo benki halafu halafu uweke upate mahela mengi
Kuna shabiki aliyekuwepo uwanjani amefariki wakati game inaendelea ..soma sheria za hiyo kampuni uliotumia wameandika, wengine wana-update automatically ila wengine baada ya masaa 6 na wengine hadi 12.Sorry wakuu nilibetia game ya Granada na Ath Bilbao nilimpa Ath Bilbao ashinde au a-draw ila game imekuwa Interrupted wakati Ath Bilbao akiongoza kwa goli moja, hii inakuaje wakuu
Natumia sportybet, ngoja nijarbu kusoma somaKuna shabiki aliyekuwepo uwanjani amefariki wakati game inaendelea ..soma sheria za hiyo kampuni uliotumia wameandika, wengine wana-update automatically ila wengine baada ya masaa 6 na wengine hadi 12.
Mfn..kuna kampuni hawahesabu kadi za benchi la ufundi bali kwa wachezaji tu, kwahy zisome.
Nimekutana na hii comment kwenye page yao ya sportybet (Twitter) meansi nikaushe kwa siku mbili daaah!!Kuna shabiki aliyekuwepo uwanjani amefariki wakati game inaendelea ..soma sheria za hiyo kampuni uliotumia wameandika, wengine wana-update automatically ila wengine baada ya masaa 6 na wengine hadi 12.
Mfn..kuna kampuni hawahesabu kadi za benchi la ufundi bali kwa wachezaji tu, kwahy zisome.
Sasa malizia kwa Kumpa Barca[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii weekend ngumu sana.