Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sorry wakuu nilibetia game ya Granada na Ath Bilbao nilimpa Ath Bilbao ashinde au a-draw ila game imekuwa Interrupted wakati Ath Bilbao akiongoza kwa goli moja, hii inakuaje wakuu
Apo ndo terms and condition huwa zinauska kama game itapgwa ndani ya 72hrs wataenderea na dakika ambazo zilibaki lakin kama ni tofauti na apo odds itafutwa na kuwa 1.0 ambayo ni kama ukucheza
 
Primierbet nimejaribu kutengeneza mkeka mrefu tu nikajaribu kuweka elfu kumi lakini wameniwekea limit ya elfu 2 hii imekaaje wadau.Nasaka kampuni ambayo unaweza piga hata milioni 100
Hiyo 2000 ndio maximum stake kwa huo mkeka ukiweka 10000 payout inakuja kiasi kilichopitiliza limit yao
 
Apo ndo terms and condition huwa zinauska kama game itapgwa ndani ya 72hrs wataenderea na dakika ambazo zilibaki lakin kama ni tofauti na apo odds itafutwa na kuwa 1.0 ambayo ni kama ukucheza
Sorry mkuu, mkeka ulikuwa na timu tano nne zmetick ilibakia hiyo moja, wanafuta mkeka mzima au ni odds za game ambayo ipo canceled pekee?
 
Sorry mkuu, mkeka ulikuwa na timu tano nne zmetick ilibakia hiyo moja, wanafuta mkeka mzima au ni odds za game ambayo ipo canceled pekee?
Odds za game husika ambao watasikilza tamko la bodi la iyo match usika ko Kama game itaairishwa kwa Zaid ya sku 3 basi utalipwa kwa kukatwa pesa ya iyo match usika
 
Project Bombay 01: Day 10 Updates

Asante Tottenham Hotspurs kwa kunifanya nifunge mahesabu mapema kabisa. Sasa hivi nakaa na ku enjoy football, mambo ya presha za mikeka ni mpaka kesho tena.

Sheet
View attachment 2838916
Graph
View attachment 2838917

Kauli mbiu ya leo: Maisha bora kwa kila mkamaria.
Safi sana brother. Ifike mahali watu wajue hii ni kazi na inaweza kufanywa very professional kama ambavyo unafanya wewe.
 
Wazee nisaidieni nimedeposit pesa 1xbet kupitia Selcom duka direct.1xbet wameniletea ujumbe kuwa deposit yangu imekuwa rejected by operator.Nimekatwa pesa yangu m_pesa na hawajanirudishia.
 
Mikeka bhana sometimes jau Yan Jana Man u kanikosesha pesa ya supu ety baada ya kumtandika Chelsea nkaamua kumpa DC kwa Bournemouth 1x na akaamua kuzingua peke ake nkajarbu na leo Celtic pia akakataa mazoea lakin cha ajabu toka jana pamoja na timbwili zote bado nna tren la match 50 ambalo bado lnasurvive na nlishare na wana humu japo siamni kama kuna aliefata mpaka sasa limeshatoa game 30 Kat ya 50 View attachment 2838918View attachment 2838919
Ulituma kweli mkuu? mbona codes za huklmu huwa nadaka sana ila hiyo sijaona?
 
Safi sana brother. Ifike mahali watu wajue hii ni kazi na inaweza kufanywa very professional kama ambavyo unafanya wewe.
Yeah, tunajaribu kupambana na kanji kwa kila namna. Watu tunaliwa pesa kila siku na kanjibai ila siku tukiotea tunafurahi bila kujua ni kiasi gani tumepoteza. Kwa kutumia njia hii ni rahisi kujua ni kiasi gani umepoteza na kiasi gani umepata.

Pia ni rahisi kufanya analysis kujua unakosea wapi au uboreshe wapi. Kama ukiangalia hiyo sheet kuna sehemu nimeweka shading nyekundu. Hiyo siku nilipata hasara kubwa kutokana na njia niliyokuwa naitumia mwanzo hivyo nikaamua kubadilisha approach na naona imenza kunilipa.

Yote kwa yote, ninajaribu na December 31 ndo itakuja na majibu sahihi.
 
Back
Top Bottom