Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hebu mtu aweke mkeka wake hapa basi tuone maana eengine tushaweka zetu
 
Fata nyuki ule asali
Petersborough,bradford,bristol city,shrewbury,southend

Mwingine
Eastleigh,osasuna,grimsby,halifax town
 
Haya sasa ngoja niweke mkeka wa timu zenye odds ndogo tuuu nile hela mie
 
Jamn hv uki withdraw hela meridian inachukua muda gan ili kuingia katika akaunt yangu ya m pesa
 
Download hizi apps zitakusaidia sana
Goal live hii naitumia kuangalia mechi,mechi za back to back,table etc
Olbg hii hutumika kuangalia tips za betting mie huwa naitumia sana tu.

Olbg ndo inaandikwa hvyo tu? Inapatkana playstore au
 
wadau kuna group la whats app la michezo haswa mambo ya bet,fununu na story za soka pamoja na video mbali mbali za vituko na maajabu ya soka nani nimu add
 
wadau kuna group la whats app la michezo haswa mambo ya bet,fununu na story za soka pamoja na video mbali mbali za vituko na maajabu ya soka nani nimu add

Shindwa katika jina la Yesu.
We unataka tuharibia huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…