asrams
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 4,798
- 2,652
Hilo Whatsapp group litatunyima raha tusio na whatsapp.
Nashauri tubakie hapahapa kama zamani. Hapa watu wanataka ingia betting wanapitia hapa huko whatsapp nina hakika mambo hayatakuwa poa kama ilivyo hapa
Ok mkuu, ila kuna kama watu 3 wameni-PM wanataka hvyo coz wanaogopa kuzungumzia mambo ya bettings hapa, wake zao wakiwaona humu itakua balaa !!! Hahahahahahaha