Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Endelea kutupia madini kaka jana sikuweka kabisa mikeka,,, it was a bussy day to meSOMA MATOKEO CHINI FT 1-1
HIO N AP
3-0
Kwanza nianze na shukran 🙏 be blessed aisee lakin kikweli sikuweka million niliweka 100k 100k each, the second ambayo ilitiki I got more bcoz niliongeza timu nyingine ikafika 7.64 odd na ikatoa nashukuru sana Queen Hilde (this is your nickname which means Queen of the battle 💪🏽👸🏽)kama ulieka kweli as i advised you then congrats cas imewin
Bro naomba cheki tips za jamaa Pdidy anazozituma alafu utume codes za sporty bet tujazeKwanza nianze na shukran 🙏 be blessed aisee lakin kikweli sikuweka million niliweka 100k 100k each, the second ambayo ilitiki I got more bcoz niliongeza timu nyingine ikafika 7.64 odd na ikatoa nashukuru sana Queen Hilde (this is your nickname which means Queen of the battle 💪🏽👸🏽)
Utakuja unishukuru baadaeBro naomba cheki tips za jamaa Pdidy anazozituma alafu utume codes za sporty bet tujaze
Humu tuko wakomavu kiakili... Na wabobezi & wabobevu! haswa wa betting!...Kwanza nianze na shukran 🙏 be blessed aisee lakin kikweli sikuweka million niliweka 100k 100k each, the second ambayo ilitiki I got more bcoz niliongeza timu nyingine ikafika 7.64 odd na ikatoa nashukuru sana Queen Hilde (this is your nickname which means Queen of the battle 💪🏽👸🏽)
Bet site zote zinasehemu za ku search, kwa hiyo achukukue timu moja kisha anze kusearch itakuja hiyo match... simple kabisaUngekua unaweka na ligi ya hizo mechi ungewarahisishia sana maafisa
Bro vip tena?...mbona sijaelewa aiseeHumu tuko wakomavu kiakili... Na wabobezi & wabobevu! haswa wa betting!...
Nenda ukawapange watoto watoto wa Facebook!!! Humu umepotea njia!..
Wewe& wewe Mwenyewe Maana ni mtu mmoja anaejitekenya na kucheka mwenyewe!!
Dogo sijui anatuchukuliaje eti ameweka 100k kila mkekaHumu tuko wakomavu kiakili... Na wabobezi & wabobevu! haswa wa betting!...
Nenda ukawapange watoto watoto wa Facebook!!! Humu umepotea njia!..
Wewe& wewe Mwenyewe Maana ni mtu mmoja anaejitekenya na kucheka mwenyewe!!